Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii muvi ni ya huko Afghanistani, huyo mtoto na mwezake walikuwa wanachunga mbuzi, bunduki waliichukua nyumbani bila idhini ya baba yao.Imenikumbusha movie moja kijana alipiga risasi kwenye bus ikamuua Mmarekani. Huyu mtoto kama ana miaka mnne tu ni hatari sana kwa tabia yake
Jiwe lingepita na kutokea dirisha la upande wa pili.Assume dirisha lingekua wazi...?
Huyo sio juniaMtoto ka huyo achapwi mkuu
Ni huzuniAssume dirisha lingekua wazi...?
Huyu ninkutoboa mifuko ya wazazi wao ndio wata m,shape ..Huyo sio junia
Ahahaha swa swaKama jeshini Snipers wapo,basi inawezekana tu,ingekua hakuna hata Sniper mmoja,ningeamini kua sio issue ndogo,
Impossible is nothing in this life
DaaahNi huzuni
Ahahahaha mkuu uyajui magari ya shabiby nini.. nani kakuambia yana madirisha mengine upande mwingine..?Jiwe lingepita na kutokea dirisha la upande wa pili.
Unakuta kuna mtu alikuwa na komwe Lake upande wa dirisha apo oyaaa kitu inalia baaam!! kwenye komwe ghafla nundu inaota yenye kijipu uchungu π¬π¬π¬ππππJiwe lingepita na kutokea dirisha la upande wa pili.
Hiyo ingempata bichwa komwe tuUnakuta kuna mtu alikuwa na komwe Lake upande wa dirisha apo oyaaa kitu inalia baaam!! kwenye komwe ghafla nundu inaota yenye kijipu uchungu π¬π¬π¬ππππ
Tuzo ya nini tena..Huyu mtoto ndio anatakuwa apewe tuzo sasa,sio yule mlevi aliye enda kwenye send off ya harusi yake akiwa kalewa chakari.
Mkuu gari sio kwamba lilikua stationary.... Au sijaelewa labda..Yaani nice watoto wa Dar kweli nyie ni kula kulala ,Yaani mtoto wa miaka 4 unamjua wewe kweli?
Yaani mtoto wa miaka 4 awe na nguvu za kuvuta manati Hadi avunje kioo Cha gari kweli?
Unsijua wewe kioo Cha gari kweli?
Ahahahaha kweli kweli kweli...Awekwe mbali na Chadema wasije muharibu.
Wakianza kumletea pigo za maandamano atapoteza malengo.Ahahahaha kweli kweli kweli...
Alafu ukute hi habari bado hawajapata
Siyo kwa mtoto wa miaka 4,chukua manati mpe mtoto wa miaka 4 alafu simama MITA 7 mwambie akupige wewe.Mkuu gari sio kwamba lilikua stationary.... Au sijaelewa labda..
Kama gari lilikua linatembea hiko kitu ni possible...