Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

Watu wanachukulia poa haya matukio ila wasipoangalia kunaweza kutokea ajari mbaya sana kutokana na uzembe wa hawa watoto wanaoishi karibu na road...
 
Yaani nice watoto wa Dar kweli nyie ni kula kulala ,Yaani mtoto wa miaka 4 unamjua wewe kweli?
Yaani mtoto wa miaka 4 awe na nguvu za kuvuta manati Hadi avunje kioo Cha gari kweli?
Unsijua wewe kioo Cha gari kweli?
 
Mkuu gari sio kwamba lilikua stationary.... Au sijaelewa labda..

Kama gari lilikua linatembea hiko kitu ni possible...
 
Back
Top Bottom