Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii muvi ni ya huko Afghanistani, huyo mtoto na mwezake walikuwa wanachunga mbuzi, bunduki waliichukua nyumbani bila idhini ya baba yao.Imenikumbusha movie moja kijana alipiga risasi kwenye bus ikamuua Mmarekani. Huyu mtoto kama ana miaka mnne tu ni hatari sana kwa tabia yake