Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda anakua anajinyonganyonga.
Pia soma Tatizo la tumbo kwa mtoto mchanga mwezi mmoja
Pia soma Tatizo la tumbo kwa mtoto mchanga mwezi mmoja