Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

Ivy Ivy

New Member
Joined
Jun 17, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda anakua anajinyonganyonga.

Pia soma Tatizo la tumbo kwa mtoto mchanga mwezi mmoja
 
Ngoja Madaktari waje.

........Ila wengine huwa wanakaa hadi wiki hawajaona choo
 
Wandugu na First born wangu ana 7 month ila nywele zina ota kati kati kama kiduku,,hili ni tatizo au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…