Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nikweli uyasemayo maisha ya mzee mwinyi yalikuwa ni ya amani mno kwasababu hakuwa na makuu wala visasi wala dhulmaUnakuwa na amani sana ukiwa hivyo ingawa wachawi hawakosekani
José Mujica alikuwa The Humblest president in the world yule aliekuwa rais wa Uruguay
Mzee hana makuu yule kama Mwinyi vile
Kwa nini mkuu? JF wanajisajili binadamu tuWewe ni shetani kabisa!
Lakini kafa na hakuzikwa MkurangaNikweli uyasemayo maisha ya mzee mwinyi yalikuwa ni ya amani mno kwasababu hakuwa na makuu wala visasi wala dhulma
Kabila wa DRC jeNi kweli mkuu, viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu
Nae piaKabila wa DRC je
Shindwa shetaniKama mkubwa mbona anatuogopa ukoo wetu
Kwa kweli, ampende zaidiMungu amsaodie kijana mwenzetu
Mstari wa kwanza na wa mwisho ina kinzana.Yule ni mwamba ngoja apone atawanyoosha hawatokaa.
Ee mwenyezi Mungu saidia kondoo yako hii ipone haraka uwezekanavyo
Britanicca hajawahi kukosea!Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Tusio na D mbili tunaelewaje sasaMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.