Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nikweli uyasemayo maisha ya mzee mwinyi yalikuwa ni ya amani mno kwasababu hakuwa na makuu wala visasi wala dhulmaUnakuwa na amani sana ukiwa hivyo ingawa wachawi hawakosekani
José Mujica alikuwa The Humblest president in the world yule aliekuwa rais wa Uruguay
Mzee hana makuu yule kama Mwinyi vile