Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Unakuwa na amani sana ukiwa hivyo ingawa wachawi hawakosekani

José Mujica alikuwa The Humblest president in the world yule aliekuwa rais wa Uruguay
Mzee hana makuu yule kama Mwinyi vile
Nikweli uyasemayo maisha ya mzee mwinyi yalikuwa ni ya amani mno kwasababu hakuwa na makuu wala visasi wala dhulma
 
viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu
 
Ni kweli mkuu, viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu
Kabila wa DRC je
 
Back
Top Bottom