Shetani hana guarantee, yeye anaangalia interest yake si huyo bwana. So ikitokea offer kubwa zaid anamuweka pembeni
 
Dah!
Nchi yangu, hivi karibuni itakuwa ni ya kishetani kamili,

Hata aliye na afya ajiangalie na akae kwa kujihami sana maana hakutakuwa na amani tena ile ya kuaminiana kama mwanzo, CCM huko ndo kabisaa, kila mmoja atakuwa akimshuku mwenzake, na itakuwa hivi hivi wakinyweshana sumu mpaka maisha ya chama chao chote
 
Alirudi kweli, lakini si akiwa na afya tele.
 
Mtoto wa kambo akapewa toy ya Dar alichezee

Si akaanza kupora mali hajui fainali uzee Eeeh Dogo alikuwa na chuki hakuogopa Mungu wala Mbingu

Genge lake la bunduki si akayavamia mawingu

Nani alimiliki genge la paka wasiojulikana

Akatwadhibu hadi sisi Panya Road tulioshindikana

Bado vita havina suluhu na kupona ni Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…