Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
hakuna sumu itamuua mtoto pendwa, wataingilia wapi, amekabidhi hatima yake yote kwa shetani ili apate vyeo na kutawala viongozi wakubwa, ni jitu kubwa san akwenye ulimwengu wa mashetani huko hata kama anajifanya kusali na kulialia. Mungu amrehemu na kumtoa huko gizani.
Shetani hana guarantee, yeye anaangalia interest yake si huyo bwana. So ikitokea offer kubwa zaid anamuweka pembeni
 
Dah!
Nchi yangu, hivi karibuni itakuwa ni ya kishetani kamili,

Hata aliye na afya ajiangalie na akae kwa kujihami sana maana hakutakuwa na amani tena ile ya kuaminiana kama mwanzo, CCM huko ndo kabisaa, kila mmoja atakuwa akimshuku mwenzake, na itakuwa hivi hivi wakinyweshana sumu mpaka maisha ya chama chao chote
 
Huu uzi niliuona jana nikaupuuza. Mleta uzi britanicca juzi kati alileta tetesi ya kutumbuliwa kwa february na nape ikawa kwali. Sasa ukimya wa kondakta ukamfanya britanicca aibuke na tetesi.
Any way mimi naichukulia hii tetesi kama ile ya makamu wa rais dr Mpango. Alizushiwa sana. Mpaka na mishumaa ikawashwa. Mwishowe dr akarudi akiwa ns afya tele.
Alirudi kweli, lakini si akiwa na afya tele.
 
Mtoto wa kambo akapewa toy ya Dar alichezee

Si akaanza kupora mali hajui fainali uzee Eeeh Dogo alikuwa na chuki hakuogopa Mungu wala Mbingu

Genge lake la bunduki si akayavamia mawingu

Nani alimiliki genge la paka wasiojulikana

Akatwadhibu hadi sisi Panya Road tulioshindikana

Bado vita havina suluhu na kupona ni Majaliwa
 
Back
Top Bottom