Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Shetani hana guarantee, yeye anaangalia interest yake si huyo bwana. So ikitokea offer kubwa zaid anamuweka pembenihakuna sumu itamuua mtoto pendwa, wataingilia wapi, amekabidhi hatima yake yote kwa shetani ili apate vyeo na kutawala viongozi wakubwa, ni jitu kubwa san akwenye ulimwengu wa mashetani huko hata kama anajifanya kusali na kulialia. Mungu amrehemu na kumtoa huko gizani.