Mtoto wa Amina Chifupa na Mpakanjia hana makuu

Hii ndio fisiem ninayo ijua ni YAO na KIZAZI CHAO tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nchi ina watu wana vituko hi; sasa kiongozi wa serikali kuwatakia wananchi heri ya sikukuu ya dini ya watu fulani nalo limekua jambo la ajabu? Magufuli kachangisha ujenzi wa msikiti while yeye sio muislam, hi vipi?
 
Nimempenda bure hivi naweza kuishi bila yeye!??
 
Mtendaji kata anawatakia watanzania Pasaka njema. Kama huko siyo kuwa na makuu ni nini?
 
Nafikiri pía kulikuwa na mgogoro, madogo wakilalamika jamaa anawadhulumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…