Ushauri wangu kwako;
Endelea kumteat friendly huyo mtoto make sioni mantiki ya kuanza kumkwepa utachangia kumuathiri kisaikolojia. Kama baba yake amefail kiasi cha mtoto kuamua kuhamishia hisia zake kwako, itakuwa sio fair kum deny ghafla pengine furaha yake akuonapo wewe inachangia mibaraka kwako!
Kingine. Jaribu kuchunguza kama hayo mahusiano yamehanikizwa na mama yake, ila kama ni free will mtoto kaamua kukupenda tu, basi usimuangushe na hata baba yake siku akinote ukaribu wako na mwanae usishangae mtoto ndo akatoa utambulisho mzuri zaidi hata kabla ya wewe kujieleza.