Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Umenikumbusha kitu.
Nilikuwa kila nikienda kanisani nina tabia y kukaa eneo lile lile ninalopendelea kukaa.

Sasa kwa upande wa pili kuna couple moja wana bint yao. Kila wakifika kanisani mtoto ananililia. Ninamchukua nakaa naye hadi ibada inaisha. Yule mtoto sasa hivi ana miaka mitatu na tabia yake ni hiyo hiyo. Wakija kanisani ananitafuta anakuja kukaa na mimi hadi ibada inaisha ndiyo wanamchukua na hapo kananililia kweli kanataka kuondoka na mimi.

Hapo ningekuwa mwanaume nahisi ndoa ya watu ingekuwa mashakani.
Ww Kam mm tu pale Ninako keti Mara zote ndio huwa naketi Muda wote nijapo kanisani nikimkuta mtu kakah Kam Ni kijana kijana bas namnyanyua namuelekeze sehemu nyingine ya yey kwenda kuketi Mara zote wananielewa jusi nimlitoa kabint aliyeniwai kuketi ,kimara korogwe ,na Sasa ilazo Ebenezer ddm. Zote nafanya hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unajikuta ukikaa sehemu nyingine kama vile hupati amani ya moyo
 
Huyo ni soulmate wako, angekuwa mkubwa kma ww ungeishi nae kma mke na mume,mambo yenu yangeenda poa.
 
Back
Top Bottom