Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

Ulitaka amuite nani baba sasa!? Kama sio wewe!? Wakati majukumu yote aliyopaswa kuyatimiza baba....wewe tayari unamtimizia!

Ni wakati wa wewe tu kumalizia ile hatua iliyobaki!
Ambayo wengi kweli huwa tunaitamani....

Ili uitwe baba kikwelikweli! Na si baba gift!
 
Ulitaka amuite nani baba sasa!? Kama sio wewe!? Wakati majukumu yote aliyopaswa kuyatimiza baba....wewe tayari unamtimizia!

Ni wakati wa wewe tu kumalizia ile hatua iliyobaki!
Ambayo wengi kweli huwa tunaitamani....

Ili uitwe baba kikwelikweli! Na si baba swalehe
Hatua gani iliyobaki hebu nisanue mkuu
 
Nje ya mada
Kwa siku kwani unaanzisha threads ngapi mkuu?
 
Bila shaka mkuu haujawahi kukutana na misahara kama hiyo aise, mfundishe/mwambie akuite anko vinginevyo ratiba za maisha yako zitabadilika kwa kipindi kifupi.
 
Halafu zote ni za hovyo hovyo tu..haka ni katoto kamemaliza Shule kamekosa kazi,kanakaa kwenye Sofa la Shemeji yake na kuanzidha Vithd JF.

[emoji38][emoji38][emoji38]
Maana kila thread ya mada za kijinga sijui niite hivyo lazima nikute ni yeye. Na kajiunga tu mwaka jana, mpaka huu mwaka uishe servers zitakua zimejaa balaa
 
Back
Top Bottom