Mtoto wa Jirani amezoea kuniita baba

hakuna shida
 
Sisi tuliolelewa na kukulia mazingira ya kota late 80s tulifundishwa kuwa treat wazazi wa watoto majirani kama baba\mama na hadi leo hii na ukubwa wangu huu nikienda pande hizo au kubahatika kukutana na wazee hao huwaita baba/mama kwa moyo mkunjufu kabisa.
Haya mambo ya anko na anti yamekuwa yakitumika miaka hii ya 2000s kutokana na uzungu kutamalaki.

Hivyo kwa mzazi muungwana na mwenye uelewa hawezi kutilia shaka mahusiano ya wewe na huyo mto na hata mama yake pia.
Kingine kosa lipo kwa huyu jirani yako kukaa mbali na uwepo wa mwana imemjengea mtoto kukuthamini kama baba kutokana na vile unavyomjali na kuwa karibu nae.
 
Mkuu nimekulewa Sana
 
Mkuu nimekulewa Sana
Ushauri wangu kwako;
Endelea kumteat friendly huyo mtoto make sioni mantiki ya kuanza kumkwepa utachangia kumuathiri kisaikolojia. Kama baba yake amefail kiasi cha mtoto kuamua kuhamishia hisia zake kwako, itakuwa sio fair kum deny ghafla pengine furaha yake akuonapo wewe inachangia mibaraka kwako!
Kingine. Jaribu kuchunguza kama hayo mahusiano yamehanikizwa na mama yake, ila kama ni free will mtoto kaamua kukupenda tu, basi usimuangushe na hata baba yake siku akinote ukaribu wako na mwanae usishangae mtoto ndo akatoa utambulisho mzuri zaidi hata kabla ya wewe kujieleza.
 
Kisima be blessed Sana mkuu
 
Babab mtoto hajakutongoza kweli? Ebu kuwa mkweli usifiche
 
Ah mzee kam nakuona karibuni unapewa mbususu ujilei kilaini.
Usituangushe msela...ipelekee moto hiyo mbususu kisawasawa
 
Mama wa mtoto ni mtu anaye jiheshimu Sana na ni mpole so siwezi kula mbususu.
Wewe alikudanganya nani kujiheshimu kanazidiwa na genye? Huyo hapo wee kaa nae karibu tuu utashangaa siku unapewa mbususu sasa simamia ukucha mpaka huyo mumeo asaulike. Utashangaa ukipiga show anaachana na mume wake na hivi dogo tayari anakuita baba basi mambo rahisi kabisa.
Na ukipewa mbususu jaza na mimba kabisaaaaa usikosee
 
Kwani Mama yake anasemajee?
 
Mkuu kesi za kifo hizo,sio mtu wa mbususu Sana namchukulia kawaida Japo ni mzuri age yake 27 hiv
 
Mkuu kesi za kifo hizo,sio mtu wa mbususu Sana namchukulia kawaida Japo ni mzuri age yake 27 hiv
Ah sasa ndio mtamu huyo...yaani prime age for cheating hapo ni suala la wee kuwa karibu na dogo vizadi kama vyote na siku nyingine mpendogo zawadi ya mama yake ampelekee.
Akianza kujilengesha vizuri buy her a present u can both unwrap😜
 
Hapo umeyakanyaga mzee, ngoja mumewe arudi utatakiwa umpe sababu tatu za kwanini mwanae anakuita baba...
...na hizo sababu tatu axitaje kuanzia ya mwisho kwenda ya kwanza
 
Naskiaga we ndo unamsumbua mkewangu kila nikisafir etii😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…