Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mbona hukubali ukweli kwamba watakutana Mtaani wote na bahasha ua CV kutafita Kazi Mshahara laki 5??Ukutee kwake Million 50 ni sawa na million 1 tu.Tutafutenii pesaaa,nilishikaa daftari la Dogo mmja Form 3 sikuu mojaa anasoma shulee ya Kataa,Dah Bureee ni sumuu.
Mbona hili unalikwepa?