Ukutee kwake Million 50 ni sawa na million 1 tu.Tutafutenii pesaaa,nilishikaa daftari la Dogo mmja Form 3 sikuu mojaa anasoma shulee ya Kataa,Dah Bureee ni sumuu.
How can you compete on a match that you already won? Sina cha ku proove kwako ila ni ukweli usiopingika kwamba hapo UDSM hakuna mitambo ya kisasa ya kuwafunzia wanafunzi , syllabus zenu ni theory based practical ni zero .

It's not competition neither a match! It's a challenge,
Unajiamini unafanya design, na unaamini practical skills zako ni nzuri kuliko Alumni yeyote wa UDSM let's just call it a friendly duet then.
Hizo za kusema practical zero, mitambo hakuna ndo stori za kahawa nsizozitaka mimi.