Ni sawa pia ila kwa dunia ya sasa si ya kumtegemea mtoto ni vzuri mzazi akajiandaa na maisha ya uzeeni na akawa na uwezo wa kujitunza kwa akiba aliyonayo.Atajisikia vizuri baada ya kupata KAZI au kujiajiri na kula matunda ya mtoto baada ya kumaliza elimu yake!!
Unachosema ni sahihi mkuu. Shule ina uwezo wa kushape akili ya mtoto mbali na elimu ya darasani.Benjamin Fernandez pamoja na kuwa hakufanya vizuri shule aliyosoma hapa Bongo ambaye ilikuwa ni shule ya private tena ya gharama lakini alipata msingi mzuri sana na ilimpa kujiamini na leo hii yupo na NALA yake.
Kitu ambacho nimejifunza ni kuwa uwekezaji ukiwa mzuri kwa mtoto, hii huweka msingi mzuri sana, na humpa mtoto vitu vingi sana ambavyo kwenye shule nyingi ambazo uwekezaji ni mdogo hamna.
Hapa tuelewe kuwa elimu ni uwekezaji ndiyo maana hata shule kama Weruweru miaka hiyo zilitoa watu wenye maarifa mazuri maana wakoloni waliwekeza.
Mshua wangu wakati anasoma sekondari miaka hiyo kafundishwa na waalimu toka ujerumani, UK, Japan na shule ilikuwa na nyenzo zote za kupatia elimu. Ina maana kwa leo hii shule ingawa ilikuwa ni ya serikali ingekuwa ni kama private fulani hivi. Na mshua hata akiongea tu unaona Yes huyu alipata maarifa mazuri.
Ninachotaka kusema shule iwe ya private/serikali kama hakuna uwekezaji lazima itoe product za kiwango cha chini. Sasa hapa kuna jambo moja kuna ile mtoto kusoma shule mbovu halafu still unakuta kapata ufaulu wa juu. Hii bado haiwezi kujutfy kuwa uwekezaji usifanyike maana hata huyu mtoto utakuta kuna vitu/maarifa hana pamoja na ufaulu wake wa juu.
Kwa wale ambao hawana uwezo wa kuwasomesha mtoto shule nzuri pia wasiwe wanyonge/wala kukata tamaa hapohapo anaposoma mtoto still bado mpambanie apate maarifa ya kumsaidia siyo ndo tena umuache tu mtoto iwe bora liende.
Huyo mtoto asipoweza kujisimamia Kwa elim hii no hasara hasta kama ukijipanga namma gani!!Ni sawa pia ila kwa dunia ya sasa si ya kumtegemea mtoto ni vzuri mzazi akajiandaa na maisha ya uzeeni na akawa na uwezo wa kujitunza kwa akiba aliyonayo.
Kuna watoto wamemaliza chuo na wamefaulu vizuri tu kwa sababu ya ugumu wa ajira wameamua kujiajiri ambapo wazazi wao wamewafungulia karakana ya kutengeneza vitu vya ujenzi, mageti, madirisha aluminium, paving blocks, furniture n.k aisee the way madogo wanavyofanya biashara wapo so professional na wanajua wanachokifanya na sasa wanapata tenda kwenye miradi kadhaa ya ujenzi.Unachosema ni sahihi mkuu. Shule ina uwezo wa kushape akili ya mtoto mbali na elimu ya darasani.
Mkuu umenena vyema kabisaaa.Kuna watoto wamemaliza chuo na wamefaulu vizuri tu kwa sababu ya ugumu wa ajira wameamua kujiajiri ambapo wazazi wao wamewafungulia karakana ya kutengeneza vitu vya ujenzi, mageti, madirisha aluminium, paving blocks, furniture n.k aisee the way madogo wanavyofanya biashara wapo so professional na wanajua wanachokifanya na sasa wanapata tenda kwenye miradi kadhaa ya ujenzi.
Hao watoto wa hizo shule wana balaaa hao nakumbuka kipindi nasoma kuna ambao nilikuwa nasoma nao tuition kipindi cha likizo aisee walikuwa wanawapa taaaabu sana waalimu wa tuition maana wana walikuwa na maswali mengi ya udadisiKuna shule zinafundisha jamani. Wanafunzi wote wa St. Francis Girls wamepiga 1 ya 7 matokeo ya form two.
Unaweza kuona kama kuna wizi wa mitihani vile lakini hapana. Walimu wake wako vizuri na wanafunzi wako bright. Mchujo wa kusoma shule pale ni lazima kwenye shule yako ulipotoka uwe unacheza top 5. Siyo mchezo!!
Tusibishe, hizi shule private zinafundisha vizuri. Ukitaka kuamini hilo, angalia matokeo ya form two ya mwanafunzi ambaye darasa la 7 kafanya vizuri private.
KabisaInakatisha tamaa pale huyo unayemsomesha kwa Tsh 5mill akirudi mtaani kumtofautisha na aliyesoma Kayumba inakuwa kazi,yaani ni kama wanafanana.
Kwahiyo unatusimanga sisi wazee wa Kayumba.Niliwahi kwenda pale Agha Khan Primary School, ipo jirani na shule za Zanaki, Olympio na Diamond.
Umasikini ni mbaya tena ni laana, ee Mungu Baba tutoe huku. Wale watoto ukiwatazama wooote unawaona wamenawiri, wana afya, ngozi nyeusi ina mafuta mafuta yenye kupendeza.
Watoto wadogo wameshiba vizuri, uniform imekaa penyewe, imemtight vizuri. Vifungo vya shati vimebana, kiatu cheusi na soksi nyeupeee.
Hakuna mtoto asiyechana nywele, hakuna mtoto akiongea anarusha mate. Watoto wanacheza kistaarabu, muda wa kutoka pale nje hakuna bajaj au boda hata moja inayosubir kumchukua mtoto, nje kuna prado, harrier, benz, alphard n.k hizi IST, Raum, Rumion ambazo sisi tunatambazo nazo basi pale ndo gari za kwenda kuchukulia watoto.
Ukikaa pale kwa lisaa tu hakika utachukia hizi shule zetu za Kayumba. Walimu wapo smart, hakuna mwalimu kavaa kata K, hakuna mwalimu anayevaa suluari za malinda au zile suluari za karume za elfu tatu tatu sijui elfu nne.
Ee Mungu utusaidie.
Huwa nachukia sana kuona watu wakiziita shule zetu za serikali St. Kayumba na wakati wengi wetu hizo ndiyo shule zilizotulea kwenye elimu ya msingi.Dooh!! Mwisho wa yote ni kuongea kingereza na kuchambua siasa.... uvumbuzi na kuleta mabadiliko katika Jamie yako sifuri.. "wabongo tujitadhmini"
🤣😂😝😝Huwa nachukia sana kuona watu wakiziita shule zetu za serikali St. Kayumba na wakati wengi wetu hizo ndiyo shule zilizotulea kwenye elimu ya msingi.
Halafu Sasa huko kwenye hizo shule zao wanazolipa ada mamilioni watoto wao wakitoka huko hawana Cha ajabu chochote wanachokuja nacho zaidi ya kuongea kingereza Kwa kujiamini pamoja na kudeka.
Yaani ni kama vile wanaendaga kununua kingereza Kwa mamilioni ya pesa.
Yaani hakuna innovation skills zozote wanazokuwa nazo hao watoto wao Wala creativity ya aina yoyote, sana sana tu wanawaimbia Hawa wazazi wao nyimbo za father X-mass na kuwatafsiria Nini kinachosemwa na mtangazaji wa CNN.
Wachukue walipata division 3 halafu wawafundishe wapate one wote ndio nitaona walimu wako vizuri. Ila mnachukua wote vipanga halafu mnajisifia m.afundisha.Hao watoto wa hizo shule wana balaaa hao nakumbuka kipindi nasoma kuna ambao nilikuwa nasoma nao tuition kipindi cha likizo aisee walikuwa wanawapa taaaabu sana waalimu wa tuition maana wana walikuwa na maswali mengi ya udadisi
Huwa nachukia sana kuona watu wakiziita shule zetu za serikali St. Kayumba na wakati wengi wetu hizo ndiyo shule zilizotulea kwenye elimu ya msingi.
Halafu Sasa huko kwenye hizo shule zao wanazolipa ada mamilioni watoto wao wakitoka huko hawana Cha ajabu chochote wanachokuja nacho zaidi ya kuongea kingereza Kwa kujiamini pamoja na kudeka.
Yaani ni kama vile wanaendaga kununua kingereza Kwa mamilioni ya pesa.
Yaani hakuna innovation skills zozote wanazokuwa nazo hao watoto wao Wala creativity ya aina yoyote, sana sana tu wanawaimbia Hawa wazazi wao nyimbo za father X-mass na kuwatafsiria Nini kinachosemwa na mtangazaji wa CNN.
Wahindi na waarabu wachace ndio wanaosomesha watoto wao shule za kizungu, tena ni wale ambao wana makampuni ya familia ya kuwarithisha hao watoto.wanasomesha watoto wao shule kubwa mkuu, shule za kizungu
Shule nyingi zinatumia mtaala.wa NECTA. ZA CAMBRIDGE ziko chache sana na kama ylivyosema , ada ni zaidi ya 20m kwa mwaka na inategemea yuko grade gani.Hzo shule kama mtaala wao ni huu huu wa Tz ni hasara otherwise mtaala wao uwe ni wa Cambridge…And shule za mtaala wa Cambridge ada yao ni kuanzia 20 mil na kuendelea!!