Ndiyo mazuri hayo fankuuuuuroWe jesika fankuroo ndio nini?matusi ya mwaka 70 na 60
hahahahaaaa.....hii ni zaidi ya balaaaa sasa!!!!!!!Duu! ndio lugha gani hiyo ndugu?
Hilo jamaa pumbavu sana sijui anamtangazia nani usomi. Unaweza kuta ni jitu jiiinga la mwisho. Msomi msomi umelifanyia taifa nini cha kujivunia? FankuuuronUniite nguruwe, kenge, nyoka, bata kwangu si kitu ili mradi bi mkubwa wako huniandalia maji ya kuoga baada ya kazi roho yangu nyeupe kama theluji.
Nimekupa darasa kiasi cha michango zaidi ya kumi ulikuwa hujajua mlengo wangu ukoje? Basi wewe ni mpumbavu aliyekichaa.
lumumba wanasema sijui kuna course moja iitwayo foundation ndiyo alipitia yenyewe nasikia ni fupi ukiwauliza inatolewa wapi hiyo course hapa Tanzania wanaanza matusiMm naomba nihoji ambaye anajua anifafanulie zaid. Huyu jesca kamaliza form four mwaka 2011. Akajiunga na chuo mwaka 2014. Jee hii miaka 2 hapo katikati alikuwa anafanya nini?
Sasa kwanini uandikie mate na wakati wino upo??? Naishi Kimara Dar Es Salaam na ukihitaji udhibitisho wa elimu yangu nakukaribisha kwangu Kimara, kwanini ujitese kusema unaweza kuta jiiiinga na huna ushahidi? Lazima nijivunie elimu yangu kwa VILAZA kama nyie mliokimbia umande, wakati sisi tunateseka na baridi la alfajiri nyie mlikumbatia mashuka, hivyo niache nijivunie elimu yangu...jibu hoja ndugu ukitaka tujadili personal issues utaumia moyo tu na kujidharau maana hamna namna yoyote kwa kilaza kama wewe kusimama katika njia yangu...hoja mezani Jessica alidahiliwa vipi degree kutokea NACTE kwa miaka miwili tu ilihali alifeli??? Ukiwa huna hoja usitoke nje ya reli unaruhusiwa kukaa kimya tuH
Hilo jamaa pumbavu sana sijui anamtangazia nani usomi. Unaweza kuta ni jitu jiiinga la mwisho. Msomi msomi umelifanyia taifa nini cha kujivunia? Fankuuuron
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,mbavu zangu! Ndo ujue what goes around might come around!Aende UDOM akahutubie halafu afanye kama alivyomfanyia mzee kabwe.....afike aulize......nimtumbue jesi nisimtumbue......!!!!?????
Mkuu nina kilaza wangu alikuwa anasoma udom amepata 3 ya 23 nilikuwa nataka nimpeleke hicho chuo lakini kuna mwanjf kaishia kunitukanalumumba wanasema sijui kuna course moja iitwayo foundation ndiyo alipitia yenyewe nasikia ni fupi ukiwauliza inatolewa wapi hiyo course hapa Tanzania wanaanza matusi
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
nawe huna tofauti na jesca onesha ndiyo neno sahihi kumaanisha elekeza onyesha linatokana na neno onya wakina jesca mko wengiHilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:
mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI
onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA
haha mkuuu,.uginiasi huwa unatokana na DNAYaweza kuwa kweli ukilaza au umahiri uko kwenye DNA. Ona huyu hapa chini.
View attachment 353341
Teh mwendokas hao mkuu,.........nawe huna tofauti na jesca onesha ndiyo neno sahihi kumaanisha elekeza onyesha linatokana na neno onya wakina jesca mko wengi
Onesha limetoka kwenye mzizi onaHilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:
mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI
onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA
mkuu nilimuona ktk clip moja walimrecord,......nilicheka sana niliposikia wamemfanyia yeye kifo cha mende,.nyakanyakaHahahahha umenikumbusha msemo wa Felix Mkosamali mwaka Jana nilipokuwa mwangalizi wa uchaguzi mkuu jimboni kwake Muhambwe Kigoma alikuwa anapenda kutumia kauli hiyo "nyakanyaka, chalichali na kifo cha mende" basi akawa anashangiliwa mbaya, watu walivyo wanafiki wakamgeuza kifo cha mende kwenye matokeo....hahahahahha
Hahahaha Yule jamaa alipoteza jimbo kizembe saaana, watu nao wanafiki sana...wanajazana kwenye mikutano na kumshangilia akajua naaam anarudi mjengoni lakini watu walivyo wabaya wakampiga mtama kwenye kura na kumfanya akae kama msemo wake wa kifo cha mende....hahahahhahahahmkuu nilimuona ktk clip moja walimrecord,......nilicheka sana niliposikia wamemfanyia yeye kifo cha mende,.nyakanyaka