Nimempa source kaikimbia.teh teh teh teh Magamba ndio mmeambiwa mjibu hivo?? Maana wote ndio jibu lenu hilo..
Sasa tukikuwekea source ya NACTE hapa utasemaje??
Hakufanya biology?View attachment 353093
Tafuteni jina hapo mhakikishe.
Mtoto wake mwingine anaitwa Joseph alipata Division Four Form Six shule hiyo hiyo...Hivi kuna sehemu Magufuli amesema Jesca sio kilaza?...
tuwekee evidence mkuu,cheti kasoma,kamaliza mwaka gani,diploma kasoma kamaliza lini na lini kaingia UDOMKamaliza form four 2011 matokeo 2012 , miaka miwili ameclear miswaki, amesoma certificate, amesoma diploma
Chakushangaza sasahivi anafanya kazi wizara ya UjenziNa mtoto wake wa kiume pia alifeli form six hapo hapo St. Matthew.. Bahati mbaya mwaka huo matokeo yalitoka kwa namba na si majina.. Naye tungemweka hapa watanzania wajue hata boss mkuu anakaa na vilaza kwake..
Vilaza wako wengi kweli... Mwingine anauliza hakufanya Biology teh teh tehNimempa source kaikimbia.
acha uzuzuhii system kaja nayo mama ndalichako ?
Whaaaaat.... Jose yupo Wizara ya Ujenzi sasahivi????Chakushangaza sasahivi anafanya kazi wizara ya Ujenzi
Swali alifikaje chuo kikuu hicho hicho ambacho baba yake anawaponda wengine kuwa ni ni vilaza? au vilaza na watoto wa maskini tu?Hivi kuna sehemu Magufuli amesema Jesca sio kilaza?...
Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..Mtoto wake mwingine anaitwa Joseph alipata Division Four Form Six shule hiyo hiyo...
Kwahiyo watoto wa vilaza lazima wawe vilaza...
Ah hahaha ona nlivokuita kumbe umekuja mbio nyiingi umefungia break visigino,Msije mkaumbuka tu pale ufafanuzi utakapowekwa wazi...hizi ni zama za ukweli tu