stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Yaani watu mnajiaibisha Burr Ku argue vitu msivovijua.......mkuu naomba kagoogle nacte afu uangalie wanafanya kazi zipi.....kwa ufupi wanadahili watu wenye diploma kuingia digrii.....pole kwa umbumbumbu.....Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Sorry mdogo wangu, kutojua kiingereza ndiyo kuwa kilaza?? Au sijaelewa mimi?Vilaza wengi sana nchi hii..mtu na nduguye hawajui kingereza..vilaza
we dada mbona hasira ivo?acha uzuzu
uyo kaishia la 5 achana nae.Vilaza wako wengi kweli... Mwingine anauliza hakufanya Biology teh teh teh
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya masomo ya shahada na NACTE??..Naomba unieleweshe hapa...Swali alifikaje chuo kikuu hicho hicho ambacho baba yake anawaponda wengine kuwa ni ni vilaza? au vilaza na watoto wa maskini tu?
Mods hiyo "Makufuli" niliandika kwa maksudi na sija kosea naomba mrudishe kama mwanzo isomeke "Makufuli". Tafadhali.
acha ukilaza,wote waliomaliza Diploma wanadahiliwa na Nacte kuingia Bachelor.Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..
Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..
Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
Sasa wafanyeje mkuu ndio kazi waliyobaki nayo.kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!
Nlishawahi kusema na nnarudia tena mod wa humu ndani watakuja mpa mtu kesi TCRA,Mods hiyo "Makufuli" niliandika kwa maksudi na sija kosea naomba mrudishe kama mwanzo isomeke "Makufuli". Tafadhali.
Let me put it very clear... That guy alifeli form four na Mkwawa alienda kama failure kusoma Diploma ya Ualimu... The rest is history...Sijakuelewa...Labda unieleweshe...Wako wapi hao watoto?..
Unaposema watoto wa vilaza lazima wawe vilaza unamaanisha Magufuli (Mwenye PHD ya Kemia) ni kilaza?..
Halafu, hv kuna connection yoyote kati ya NACTE na masomo ya shahada??
enhe! atakuwa mkalimani.... joke!UNATAKA KUSEMA ANAJUA KIZUNGU KUMZIDI .........
mtandikie mme wako alalewe dada mbona hasira ivo?
Sasa ukilaza wangu uko wapi chifu?..acha ukilaza,wote waliomaliza Diploma wanadahiliwa na Nacte kuingia Bachelor.
NACTE wanadahili.Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
weka na matokeo ya Advanced level. Bila shaka hakwenda chuo kikuu kwa matokeo ya form 4. weka yaliyompeleka UDOM. Usijaribu ku make up story. Form 4 hiyo ilikuwa mwaka gani? Yuko UDOM mwaka wa ngapi?
Wewe nawe umezidi kunichekesha zaidi ,haki ya Mungu Walahi [emoji38][emoji38][emoji38]japo hili neno si geni masikioni mwangu lakini nimecheka mpaka mbavu zinauma
hivi hawa Wahenga waliisha au walienda wapi??
Natamani waendelee kutuletea misemo mipya ya kidijitali
Unaweza kutuwekea hapa matokeo ya JPM ya form 4 aliyofeli kabla hajaenda Mkwawa?..Let me put it very clear... That guy alifeli form four na Mkwawa alienda kama failure kusoma Diploma ya Ualimu... The rest is history...
PHD holder asiyejua kuongea kiingereza hata cha kubahatisha na wakati amekisoma na kukifundisha kiingereza kwa zaidi ya miaka 20 sioni kama ana akili yeyote ya maana..
Connection unataka ya nini labda?? Ni kwamba unakataa huyo mtoto hajadahiliwa na NACTE kwenda Udom au unachobisha ni kitu gani?? Kuwa specific..