Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?
 
Kwa hiyo hawa wote waliojadili huu uzi mpaka pg 120 hawana akili ila wewe, hivi unaweza kutumia njia gani within 2 years kufika chuo kikuu?
Usiumize kichwa chako,akili zao ziko kwenye maroka pale Lumumba.
 
Jamani jesca ni mtoto wa rais hata tukimjadili huku chini ni kazi bure ila me staki yanikute ya special diploma Nattak nikasomee certificate ya education technology pale Udom nmepata dvition three form four ila mpka sasa bado sijfanya application Udom cozy sijui wanfanya kwa njia gani please kwa anayejua naomba anisaidie kuniambia Mdogo wenu
 
Ficha ujinga wako wewe,unafikiri ingekuwa kirahisi hivyo huu uzi ungefika page 120s au wewe ndo una akili sana hata kuliko hao lumumba wote na wapambe wao ambao wameamua kuchutama?
 
nimekupata binti, nitumie inbox ya namba yako tuongee kuhusu hilo unaloliulizia
 
Kuna mtu amesema Jesca alienda kwa program maalumu ya mwendokasi!
 
HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.

Hayo Matokeo Yenye Jina Wewe Umeyapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Mwenyewe.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Muwaaminishe Vilaza Wenzenu Na Si Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Ulichotupia.

Wewe Uloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yako?.
Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.
 
Ficha ujinga wako wewe,unafikiri ingekuwa kirahisi hivyo huu uzi ungefika page 120s au wewe ndo una akili sana hata kuliko hao lumumba wote na wapambe wao ambao wameamua kuchutama?
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana ninazo akili hizo. Kama umewaona kimya hawajachutama bali wameona nalimudu darasa na nyiye nyumbu mnalielewa somo na sasa mmebakisha kuonesha unyumbu wenu na si kuleta hoja fikirishi na jenzi.
 
Ninachofahamu matokeo yalitoka kwa namba kwa wanafunzi waliomaliza form four na form six mwaka 2006 ambapo matokeo yao yaliyotoka 2007 yalikuwa ya namba na pia wale wa 2009 ambao matokeo yao yaliyotoka 2010 yalikuwa ya namba.. kinyume na hapo kote kwingine kulikuwa majina ya kawaida kabisa
Labda na hawa wa juzi juzi wa miaka mitatu miwili iliyopita maana sijafatilia matokeo yao kama yalikuwa namba au majina...
 
Beauty without brain...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HUU NI UWONGO.
Nyuma Ya Mwaka 2008 Mpaka Tunavyoongea, Matokeo Ya Form IV Hadi6 Yalikuwa Yanatoka Kwa Namba Na Si Majiana.
Hayo Matokeo Yenye Jina Kayapata Wapi Ndugu.

Hata Hivyo Mwenye Access Ya Kuingia Kwa Tovuti Ya Chuo Kuangalia Matokeo Yake Si Mtu Mwingine Ni Mwanafunzi Husika.

Hata Kama Kweli Amafeli Lakn Matokeo Haya Si Yake, Mi Nafikiri Hata Wewe Jaribu Kuuliza Mtu Mwenye Uwezo Wa Kuchunguza Na Kuoanisha Kile Alichotupia.

Huyu Aloleta Haya Matokeo, Wapi Matokeo Yake?.

Mnatumia Teknolojia Kumchafua Mtu Na Jinsi Watz Wengi Wasivyojua Kupima Kila Mmoja Kaamini Hili Kwmb Matokeo Haya Ni Ya Huyo Jesca.

Chunguza Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…