Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Limejibiwa kivipi? toa maelezo yalijitosheleza.
 
Wewe hapo ndo Umeandika kishabiki hayo yote yalishatolewa ufafanuzi.. Labda umerukia gari kwa mbele. Binti ni kilaza
 
Wewe nawe usitupotoshe. Hiyo haijibu alifikaje huko kote tumefika yule ni kilaza. Tatizo mmezidi kujipendekeza kwani kukiri kosa kuna shida gani
 
Weeee jamaaa kweli zwazwa...umesoma Uzi vizuri au nawe umetumwa na walu-mimba wenzio uje ujibu...rudi soma Uzi vizuri jiridhishe kuhusu muda aliomaliza form four kisha njoo kwenye mwaka aliodahiliwa chuo baada ya hapo njoo ujibu hoja

Sio unakuja na njia za kujiunga chuo wote tunazijua kwahiyo bado hujajibu hoja
 
Ona hili nalo. Kwanini msikae kimya kuliko kujikanyaga humu. Yule ni kilaza watu wameweka evidences otherwise mnatupotezea mda na hizo labda labda zenu
 
Leo nimepata uhakika kua hayo matokeo ni ya mtoto wa mkulu alimaliza st.mathew.Chanzo ni mwanafunzi mwenzake aliemaliza nae.
 
Yes mimi ndiye nina akili, maana hao wengine wangetupa evidence kaingia kwa utaratibu gani. Unaweza kusoma masomo ya A-Level huku ukitafuta credit ya O-level kutokana na makubaliano na shule husika.
Tatizo umedandia gari kwa mbele. Kilaza we. Labda labda labda
 
Ufaulu wa Jesca kidato cha IV ulimwezesha kujiunga na vyuo vilivyo chini ya NACTE,sifa za ufaulu zilimruhusu akafanya kozi husika ngazi ya cheti mwaka mmoja na stashahada miaka miwili.Hapo alipata GPA ambayo ilimwezesha kujiunga na ngazi ya shahada hapo UDOM.Wengi wamepitia huko na wanasoma vyuo mbalimbali hapa nchini vikiwemo UDOM,CBE n.k.Nina dada yangu alipitia mfumo huo na sasa yuko anaendelea na masomo.
 
ndani ya miaka mingapi?
 
Haya Mwaya Jessica umeeleweka, hiviiii ingekuwa kirahisi hivyo ungeikuta thread ina comments nyingi hivi??? Nani asiyeijua hiyo formula ya miaka mitatu ambayo wadogo zetu walikuwa wakisoma miaka mitatu diploma pale UDOM hatimaye kuitwa vilaza...vilaza wengine kwa kudandia treni kwa mbele wakasema ni degree hapo nikabaini tunaishi na vichaa mtaani bila kujijua...haya turudi kwenye point kuu je hivyo ulivyoviandika vinawezekana ndani ya miaka miwili??? Kama ndio naomba uorodheshe vyuo ambavyo hutoa kozi za certificate na diploma kwa jumla ya miaka miwili tu
 
Acha kutuingiza chaka.. Kama wajifanya unajua tueleze vyuo alivyosoma na duration mpaka kumwezesha kuwa mwaka wapili UDOM saizi
 
Mkuu hii ni page ya 214.. swala lingekuwa ni hilo na jesca alipitia mfumo huu...basi uzi huu ungeishia page 1 tu.
 
Mwisho wa siku humu ndani wote mtaonekana ni vilaza by professional haiwezekani mchukue muda wenu mwingi mkijadili maisha ya watu ilhali wao wanaendelea kusonga mbele. #SHTUKA
 
Hapa ndipo unajua mnaombwa mumuombee mtu wa namna gani!
Anapata wapi ujasiri wa kisema yeye ni Rais wa wanyonge?Unafukuza watoto wa maskini kwa mtutu wa bunduki,tena wengi wakiwa na sifa lakini wa kwako kilaza pia anapeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…