Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

i seen it, things are getting worser............
Ungeandika kiswahili tu kaka, aibu imekupata umechanganya wakati kwenye kiingilishi
"I seen" chagua jibu sahihi( I saw,au I have seen). Hii lugha si yetu,tusiitukuze sana.
 
Ndo hasara za kukurupuka team vilaza wamejaa huko CCM
 
Mtoto wake mwingine anaitwa Joseph alipata Division Four Form Six shule hiyo hiyo...

Kwahiyo watoto wa vilaza lazima wawe vilaza...
Wahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??
Kweli mbayuwayu mbayuwayu tuu ata umlishe vipi hawezi kunenepa akawa njiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo kikuu? Wajinga ndio waliwao!
Pengine alirudia mitihani?

Hana vigezo nae,pia aondoshwe mara moja akaungane na wale elfu saba.

bora yeye kiinglish ana "C"

MAGUFULI anarusha mawe huku yeye anakaa kwenye nyumba ya vioo! TEH TEH TEH!

JF ni kiboko kabisa!

Kamaliza form four 2011 matokeo 2012 , miaka miwili ameclear miswaki, amesoma certificate, amesoma diploma
 
http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm
linki hii hapo. ni kama yupo mwaka wa pili hapa tunahitaji maelezo amefikaje? kwa sababu kama ni diploma atapoteza mwaka mmoja, kureseat pia atapoteza mwaka mmoja, kama yupo mwaka wa kwanza sina neno vinginevyo tunahitaji maelezo. amefikaje???
 
Matokeo ni kwamba alifeli vibaya sana... Baba yangu alisoma hapo Mkwawa two years before Maku was enrolled na wote waliopelekwa pale kusomea Diploma ya ualimu walikuwa ni failures.. Meaning Div 3 na 4.. Na ndipo wakati huo Mkwawa High School ikabadilishwa kabisa kutoka shule mpaka Chuo cha Walimu wa Sayansi.. Division 1 na 2 walikuwa wanakwenda High School, 3 na 4 ndizo hao unaosema wana akili sana...

Niambie PhD holder yeyote duniani aliyesoma lugha flani kama base learning language tangia elementary/secondary school mpaka apate PhD yake alafu ashindwe kuizungumza hiyo lugha sio kwa ufasaha tu, bali hata sentensi tatu mpaka nne za kueleweka...
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD

alisoma cert magogoni mpk kufika huko
 
Hivi elimu ya mbowe dj maarufu na mwenyekiti wa chama ilishawekwa wazi?? Mbona huyu Jesca ni mtoto sana ukilinganisha na Babu yake mzee mbowe? anzeni na mashina ndipo mje kwenye matawi
 
Wahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??
Kweli mbayuwayu mbayuwayu tuu ata umlishe vipi hawezi kunenepa akawa njiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji15]
teh teh teh teh ngoja tumalize kutumbua na kuficha pesa ndani tukidhani kuficha pesa ndio pesa zitaongezeka na kuzaana huko tunakoficha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…