ABEL MAGEMBE LUGIMBA
Member
- May 22, 2016
- 63
- 59
Hapana sio mhadhiri ni mwanafunzi wa mwaka wa pili.Unaweza kukuta Ni mhadhiri pale UDOM, hii NNJI imeshindikana!
Sikujuwa magufuli naye anakilaza dah hatari sanaSt Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
Chuo kikuu kinacho heshimika bongo cha udsm , cha udom ranking yake Sijui ikoje na zaidi ya hapo atakuwa alidahiliwa na cdm, ingekuwa Magufuli asinge pita chujio, na atakuwa kapewa mkopo au kulipiwa na cdm na sio serekali ya magufuli au Mama Yake ana mlipita na sio JPM .Kilaza wa magufuli huyo halafu alidahiliwa Dodoma unachamba wakunga na uzazi ungalipo huyu raisi anajiumbuwa mwenyewe
Okay 2012 chet
2013 Diploma 1
2014 Diploma 2 oopsss!!!!! alichaguliwaje hapo! na unajua mwisho kuomba huwa ni lini?.
Haha kilaza wa Magufuli JescaChuo kikuu kinacho heshimika bongo cha udsm , cha udom ranking yake Sijui ikoje na zaidi ya hapo atakuwa alidahiliwa na cdm, ingekuwa Magufuli asinge pita chujio, na atakuwa kapewa mkopo au kulipiwa na cdm na sio serekali ya magufuli au Mama Yake ana mlipita na sio JPM .
Hata nyumba haijengwi tu ghafla ghafla... Kuna maandalizi mazito kabla hata ya kununua matofali na saruji..
Je, kuna sera yeyote ya kiuchumi, mianya yeyote ya ukwepaji kodi, mapitio yoyote ya mikataba tata imefanywa mpaka sasa kabla ya kwenda huko mnakosema tutafika 2020?? Au ikifika 2020 mtasema kipindi chetu kinaisha 2025 kwahiyo miaka hii mitano ya mwanzo tulikuwa tunasafisha nchi??
magufuli mwenyewe alianzia diploma mpk PhDHuenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Ahahahaha... na waameWahame ikulu..! Tunalipa kodi yetu wanatumia vilaza ikulu??
Kweli mbayuwayu mbayuwayu tuu ata umlishe vipi hawezi kunenepa akawa njiwa..[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Mkuu hao ndio wabongo utawatishia utakavyo na watanywea lakini ngoja wa rudi kwenye key board sasa utajificha ndani mwaka mzima kwa watakavyo kuweka uchiDuuu shikamooni watanzania nimewapa 100%
Yupo UDOM kwa mature age entryHapana, haiwezekani...huyo kilaza hawezi kuwa bintiye John Pombe Magufuli, mnampakazia tu. Hebu tuambieni basi, kama ni kweli je yuko wapi sasa hivi? Nauliza kwa sababu hapa Tanzania kilaza kama huyo hakupaswa kwenda Chuo chochote kile.
Matokeo yalitoka February au March mwaka 2011
Certificate kaanza September 2011 mpaka May 2012
Diploma September 2012 mpaka May 2014
Degree September 2014 mpaka June 2015 first year
mwaka wa pili September 2015 mpaka June 2016
Bado kuna swali?
Teh...Eti jukumu langu...
Hivi una
TAARIFA KWA UMMA
TAREHE 11 MACHI 2016
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuutangazia umma kuwa waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaoomba kujiunga na Shahada ya Kwanza zinazotolewa na Vyuo Vikuu (Universities) au Vyuo Vikuu Vishiriki (Constituent Colleges of Universities) hawataweza kufanya hivyo sasa. Hii ni kwasababu Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) bado haijafungua rasmi Mfumo wa Udahili wa pamoja (CAS) unaoratibiwa kwa pamoja kati ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU). Tume ya vyuo vikuu inatarajia kufungua mfumo huo wa kudahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza mara baada ya matokeo ya kidato cha sita kutangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuanzia mwezi Mei 2016.
Hivyo basi, ikifika muda huo ndipo waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Vyuo Vikuu au Vyuo Vikuu Vishiriki kwa ajili ya kusoma Shahada ya Kwanza, wataweza kuanza kuomba kudahiliwa kwa kupitia kwenye Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS).
Hata hivyo, tunapenda kutoa taarifa pia kuwa kwa wakati huu, waombaji wenye Stashahada (Ordinary Diploma – NTA Level 6) wanaotaka kujiunga na Shahada za Kwanza zinazotolewa na vyuo vya Elimu ya Ufundi au Taasisi zilizosajiliwa na Baraza (NACTE) waendelee kuomba kudahiliwa na Taasisi hizo kupitia Mfumo wa Pamoja wa Udahili (CAS) unaoratibiwa na Baraza ambao umezinduliwa tarehe 4 Machi, 2016.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA UDAHILI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
jua Central admission system (CAS) inaendeshwa na nani?
TAARIFA KWA UMMATeh...Eti jukumu langu...
Hivi unajua Central admission system (CAS) inaendeshwa na nani?
Kwahiyo mtihani ukifanywa October 2011 matokeo yanatoka March 2011 kama unavyosema?? Mtoto kamaliza Form Four 2011... Matokeo yametoka 2012 dada.. Tafuta kingine cha kudanganya
Kwahiyo mtihani ukifanywa October 2011 matokeo yanatoka March 2011 kama unavyosema?? Mtoto kamaliza Form Four 2011... Matokeo yametoka 2012 dada.. Tafuta kingine cha kudanganya
Mjadala umekwisha tayari.Hawa nyumbu wanalazimisha nyeupe iwe nyeusi Judy wa Kishua ameshawajibu. Mnayoendelea nayo ni soga maana hayana tija tena zaidi ya personal attack kwa binti wa watu
Mtihani ulifanyika 2010 matokeo yakatolewa mwaka 2011.
Usiniulize upuuzi kama uelewi kadeki barabaraKwahiyo wewe unabishana na NECTA dada?? CSEE 2011 ina maana gani kwa uelewa wako??