Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Na yeye yupo UDOM
 
Mnanikumbusha ya binti Mwanaasha,

....yaani hawa watoto wa viongozi wetu hatari tupu.
 
Afu nashangaa,majitu mazima humu na heshma zenu,mmekalia kukasengenya katoto kadogo ambako hakajai hata kiganjani.pathetic
Na mimi namshangaa kiongozi mzima kukaa akiwakomalia vilaza wa wengine kumbe naye anao wa kwake.
 
Salaaleh! Kumbe hata watoto wa Malaika wanapata 'division FOUR'
Ni hatari sana. Tupo maofisini humu, tunapokea vijana wa field wanaotoka vyuo vikuu...aisee ni maboga matupu. Nilimuuliza kijana mmoja aliyekuwa anasoma Chuo kimoja Iringa, degree ya uandishi wa habari, nilimuuliza Nani ameku-inspire kusomea uandishi wa habari akajibu Gadna na B12 !
 
View attachment 353085View attachment 353086
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM

Sawa, ikiwa alifuata taratibu za kusoma chuo kikuu kwani kuna tatizo? Suppose alipitia certificate, halafu diploma halafu chuo kikuu, what is the problem? Enzi zetu kulikuwa na watu wa mature age entry examination na ambao baadhi walikuwa form four lakini walifanya mitihani na kufika chuo kikuu...
 

mbulula wewe acha ubishi, mimi ni mmoja wapo nilioombea udahili wa shahada kupitia NACTE, na tupo wengi tuu..
ukweli ni kwamba ukiwa umepitia diploma wewe unaombea nacte na f6 tuu ndo wanaombea tcu

inaelekea wewe umeishia form 4 pumbavuuuuuuuuu
 
Certificate mwaka 1. Diploma miaka 2 sasa kama kamaliza Nov 2011 leo 2016 atakuwaje mwaka wa pili UDOM? Halafu Maths na Commerce kapata F atasomaje BCom?
Labda alitumia qualifications za equvalents mkuu
 
Na yeye statute ya baba zetu
 
Kilaza ni jina la mwanamziki wa zamani aliyeshindwa Katika mashindano na Mbaraka Mwishehe,kuanzia hapo kila mtu anateshindwa uitwa kilaza.
...Juma Kilaza..
..Kama vile yule mbunge wa Temeke alivyoshindwa kesi na Agostino Lyatonga sababu ya vyeti vya kufoji, baada ya hapo kilaanayefoji vyeti (kama navyosema Msemakweli), huitwa KIHIYO.....
Kiswahili kinakua.
 
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine


Utakuta Anasoma PSPA hapo UDOM baada ya kuchemka St.Mathew.

Nilisema his Loose Lips is a disaster in waiting.
 
kwa mnaofahamu tunaomba mtusaidie kujua huyu Jesca yuko wapi kwa sasa, maana huwa nasikia kuna Mtoto Wa mkuu Yuko ndani ya viunga vya udom ila sijui kama nihuyu Huyu au mwingine
Acha propergander za kijinga kilaza wewe huu sio ukumbi wako. Unaleta umbea wa mtaani humu.
 
Mnanikumbusha ya binti Mwanaasha,

....yaani hawa watoto wa viongozi wetu hatari tupu.
Kama utakumbuka ule mwaka waliotoa division system, 3% ya waliofanya mitihani walipata div 1 - 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…