1954, watu wanahoji yaliyo ya kweli au kwa vile yanamgusa "MUNGU"
hahaha! angekuwa kapitia njia ya pili, asingeomba kupitia NACTE, hauwezi jua, labda alikiwa anasoma shule ya mwendo kasi.... joke2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
mkuu wa kaya akiiona hii comment itamfariji kidogo, haha!Kuna watu huwa wanadai mtoto hurithi akili toka kwa mama.
Hivyo basi, huyo Jesca atakuwa karithi akili zake toka kwa Janeth Magufuli.
Na huyo mke wa Magufuli wala siyo kichwa kwa sababu alikuwa anafundisha shule ya msingi.
Walimu wengi wa shule ya msingi ni wale waliofeligi kidato cha nne.
Huyo Jesca Magufuli ananikumbusha Mwanaasha Kikwete. Huyu Mwanaasha alifeligi vibaya mno.
Mwanaasha naye atakuwa karithi akili toka kwa mama yake, Salma Kikwete ambaye naye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi.
Lakini, hata Magufuli naye alikuwa mwalimu wa sekondari.....
Kaka, usibabaishwe na hill neno technician, fuatilia uone Nondo wanazokula! Mimi ninasalute wote wenye FTCJAMANI TECHNICIAN NI MTENDAJI WA KUAMBIWA FANYA HIVI NA HIVI WITH GUIDING PROTOCOL TO FOLLOW. HAIHITAJI UFAULU AU KUWA NA AKILI ZA JUU SANA KUFUATANA NA KAZI ZAKE! Technician ni mtu wa kutumwa leta hiki, fanya hiki etc. hivyo div 4 anawez kabisa kufanya kazi nzuri.
tatizo linakuja pale baba anapokuwa hayupo tayari kupokea za uso maana ni baba mwema asiyekosea kusahau ya kuwa utimilifu ni wa muumba pekee.Da! Hii mchi raha sana baba akibug to watoto wanampa za uso[emoji85] [emoji85] bila ya uruma safi sana
Abeeee2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
inawezekana isimpe faraja badala yake mtasikia mtu kapandishwa kizimbani kwa kukashifu mtukufu.mkuu wa kaya akiiona hii comment itamfariji kidogo, haha!
2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
Katika ishirini bora muislam mmoja kwa ratio hiyo utasema kuna hulka ya shule hapo?yenu madrasa tu.imani ya peponi labda itawavushaKwa kigezo gani unasema waislam elimu sio hulka yao? Umeangalia vigezo vip ndugu? Ifikie kipind muwe mnaheshim Iman za watu bhana inamaana hakuna wasomi waislam? Hakuna Doctors,prof, injinia,nk? Wa kiislam na hizo inch za kiislam maendeleo wanapata wap km hawana elimu
Ukifeli form 6 unanzia Diploma direct hapo yuko sawaIngawa sijajua system imekaa vipi hapa Tanzania, nakumbuka Dada yangu mkubwa kipindi hicho alimaliza form four mission school akapangwa Azania A'level kipindi hicho walikuwa wanawatest wanawake pale, akasoma PCB ila kutokana na shule akapiga zero form six lakini cha ajabu alipoenda chuo ustawi wa jamii hakusoma certificate bali diploma moja kwa moja sijui waliangalia matokeo yake ya O'level au vipi maana alipata 1:17 kipindi hicho... akasoma pale Diploma 2years kisha akaenda soma CBE pale BBA saafi na ufaulu mzuri tu na Sasa hivi ana MBA...so kwenye mfumo wa elimu Tanzania nadhani kuna mahali kuna hitilafu kabisa.
Certificate ya nini kwa mfano wakati Commerce ana "F" na matokeo ya jumla ame-"pass" masomo 4 tu including Civics?2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
nadhani ujui hizo rank inanza Basic certificate inakuja Full technician theni ndio Diploma. Full technician ni miaka miwili na ni kwa wale waliopata C 2 ndio wananza Full technician na kwa Basic certificate unatakiwa kua na D 4.JAMANI TECHNICIAN NI MTENDAJI WA KUAMBIWA FANYA HIVI NA HIVI WITH GUIDING PROTOCOL TO FOLLOW. HAIHITAJI UFAULU AU KUWA NA AKILI ZA JUU SANA KUFUATANA NA KAZI ZAKE! Technician ni mtu wa kutumwa leta hiki, fanya hiki etc. hivyo div 4 anawez kabisa kufanya kazi nzuri.
Yesu Kristu na MariaNi hatari sana. Tupo maofisini humu, tunapokea vijana wa field wanaotoka vyuo vikuu...aisee ni maboga matupu. Nilimuuliza kijana mmoja aliyekuwa anasoma Chuo kimoja Iringa, degree ya uandishi wa habari, nilimuuliza Nani ameku-inspire kusomea uandishi wa habari akajibu Gadna na B12 !
Asa msipige sana atanuna atakua aleti chakula alaf mitoto yenyewe mitukutu inapiga to ad sehem nyetitatizo linakuja pale baba anapokuwa hayupo tayari kupokea za uso maana ni baba mwema asiyekosea kusahau ya kuwa utimilifu ni wa muumba pekee.
aliesoma form 6 anadahiliwa na TCU na sio Nacte ila uyu kapitia NACTE hapo ndio kuna tatizo.2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
Acha ujinga wewe, mkubwa manake ndo nini? Vijana wanapata shida mtaani, wengine Ni hizi wamefukuzwa Chuo sasa unasemaje, kwendraaaaaaHivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
msihangae kesho mkasikia mitandao ya kijamii yote marufuku Tanzania.Asa msipige sana atanuna atakua aleti chakula alaf mitoto yenyewe mitukutu inapiga to ad sehem nyeti