kuita watoto wa watu vilaza sio kudhalilisha? Inapaswa uheshimu ili uheshimiwe.Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Upo ulimwengu wa wapi wewe...ingawa sipo mrengo wowote lakini pia aikukubaliana na kauli za kibabe na za kejeli za kuita mwanafunzi kilaza tena toka kwa mtu ambaye alishawahi kuwa mwalimu and am sure yeye mwenyewe alifeli ndio kuishia kufundisha na kuunga unga elimu yake kwa superglue... kama mwanae kilaza asiambiwe sababu gani (ingawa am not sure kama tokeo ni la kweli) ila kama kweli haina kukopesha kisa kiongozi kwani yeye Mungu mpaka aogopeke???Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] aiwez tokea watafungia ladra jf ila mingine itaendelea kama kawamsihangae kesho mkasikia mitandao ya kijamii yote marufuku Tanzania.
Hayo ni form 6,je ile requirement ya credit 5,ambazo including maths and english za form 4,zinaapply bado?MAGUFULI ALISEMA ASINGEPENDA FEDHA INAYOTAFUTWA NA SERIKALI KWENDA KWA VILZA.
Watu wameyatafuta matokeo ya Mtoto wake Jesca John Magufuli.
Umenena vyema mkuuKama ni kweli yupo mwaka wa pili basi kwa hatua alizopitia hili haliwezekani anatakiwa awe mwaka wa kwanza kwa maana kwa hizo ngazi atapita miaka 3 hata tukienda kimahesabu hili swala haliwezekaniki. Kama ni mwaka wa kwanza ambayo semester ya 2 ndo inaelekea kuisha hapo sina cha kuhoji vinginevyo lazima tuhoji amefikaje?
Alidahiriwa mwaka 2014 nimetafuta majina ya waliochaguliwa UDOM mwaka 2014 nae yumo hapa kuna walakini.NACTE selection hapo juu ni ya mwaka 2014?
Alichaguliwa 2014 na NACTE yupo mwaka wa pili, nchi ngumu hii.2012-2013 certificate
2013-2015 diploma
2015/2016 first year
kama yuko first year sawa ila kwa 2nd year labda awe ametumia mfumo huu hapa chini upo tz
2012 kareseat
2013 kasoma five na six one year .
2014/15 first year chuo
2015/16 second year chuo
so its possible kuwa second year .
Ukawa tuweke Silaha chini, tumuunge mkono mh. Raisi katika jambo hili
Jambo lipiUkawa tuweke Silaha chini, tumuunge mkono mh. Raisi katika jambo hili