Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?


Unaficha ili uibe cheti cha mtu mwingine? Siyo kila kitu tujilinganishe na nchi nyingine. Nchi nyingine wanatangaza mishahara ya watumishi wa umma sisi tunaificha.!!!!!!!
 
Yah anaweza kwenda hila hiyo certificate na diploma kasoma miaka mingapi?
 
Diploma ni miaka miwili kwa course za biashara na arts na miaka mitatu kwa course za science.
 
Akili za wa Tanzania bana wameacha kujadili matukio, wameanza kumtafuta mtoto wa Magufuli. Kwa hiyo kama mtoto wa Magufuli ni 'kilaza' mlitaka na hawa vilaza wengine waendelee kukumbatiwa?
Point of correction mkuu usiwaite wale VILAZA ilihali hujui matokeo yao, usifatishe mkumbo kuwaita vilaza na wakati ile program ilikuwa mahususi kwa wale waliopasua (faulu) masomo ya Science kwa ufaulu wa A na B je mwanafunzi mwenye division one hadi three ni kilaza??? Usibebwe kwa mihemko ya raisi wako, issue pale ilikuwa ni hela hivyo zingine mbinu tu na wewe kilaza mwingine ukabebwa akili....
 
View attachment 353194 View attachment 353193 St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
Kama sijakosea hayo ni matokeo ya kidato cha nne na ndomana kaenda kusoma shule binafsi "private",hivyo yawezekana kidato cha sita alifanya vizuri labda ungetusaidia kuleta na matokeo ya kidato cha sita kama alisoma....isije ikawa mnamuonea bure mana yeye hausiki kwenye miujiza anayofanya dingi yake.
 
hamna cha ajabu hapo
kama alifanya certificate/Diploma?
 
Yah anaweza kwenda hila hiyo certificate na diploma kasoma miaka mingapi?
Ninavyojua certificate ni Mwaka mmoja,diploma miaka miwili,kama alimaliza form six Mwaka 2012,basi 2013 angemaliza certificate,na 2015 angemaliza diploma,2016 angeanza Mwaka wa kwanza chuo kikuu,sasa inakuwaje yuko Mwaka wa Pili digrii?
 
Mungu wangu kweli Tanzania kuna zaidi ya VILAZA....kwa matokeo hayo unaona kuna sifa za kwenda form five na six hapo??? Labda nje ya Tanzania... pili amedailiwa kupitia NACTE means ana diploma...soma vizuri ndugu kabla hujaandika na kuwekwa kundi la VILAZA Tanzania... hili ni pigo la nchi, VILAZA katika ubora wao
 
Akili za wa Tanzania bana wameacha kujadili matukio, wameanza kumtafuta mtoto wa Magufuli. Kwa hiyo kama mtoto wa Magufuli ni 'kilaza' mlitaka na hawa vilaza wengine waendelee kukumbatiwa?
ulitaka wajadili matukio gani
 
Ndiyo maana nimesema ni busara tu zitumike. Kwa mtazamo wako itakuwa ni vigumu kwako kuelewa ninachokisema.
 
Akili za wa Tanzania bana wameacha kujadili matukio, wameanza kumtafuta mtoto wa Magufuli. Kwa hiyo kama mtoto wa Magufuli ni 'kilaza' mlitaka na hawa vilaza wengine waendelee kukumbatiwa?

Aanze na mwanae ili niamini kwamba kweli Hapa Kazi Tu.
 

Ni kiongozi gani aliwaita wale wanafunzi vilaza?
 
Ninavyojua certificate ni Mwaka mmoja,diploma miaka miwili,kama alimaliza form six Mwaka 2012,basi 2013 angemaliza certificate,na 2015 angemaliza diploma,2016 angeanza Mwaka wa kwanza chuo kikuu,sasa inakuwaje yuko Mwaka wa Pili digrii?
ndio tunajiuliza sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…