Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hivi ni kweli alimwacha mwanae aende kusoma Degree wakati anajua hakuwa na sifa stahiki? Staki kuamini kuwa President wetu huyu mkali naye si Muadilifu kiasi hicho
 
View attachment 353228

St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F


============

View attachment 353229


Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
[/QUOTE]
Nimesoma michango mingi ngoja nije kivingine.
Huyu binti Magufuli haya matokeo aliyapata mwaka gani? Maana sasa hivi unasema yupo UDOM. Je huko UDOM anasoma kozi gani Shahada au stashahada? Kuanzia mwaka gani? Lengo la maswali haya ni kutaka kujua kama kunamagumashi.
Baada ya majibu ya maswali haya nitakuwa na maelezo ya nyongeza
 
Humu jamii kuna watu wanajua kusoma kuandika tu hata darasa moja hawajasoma ila wanacomment mambo yaliyowazidi sasa mtu ana C moja o level anamalizaje advance ?
 
Wanasaikolojia wanasema watoto wa kike hurithi IQ za baba yao na wakiume hurithi sehemu kubwa ya IQ za mama zao! This is scientifically proven, googke km ukitaka_! Sasa sijui hili linamaanisha nini!
 
Huwezi kuwaona hapa hao nyumbu.
Nikweli maana naona uzi unakimbia lkn siwaoni kutia mguu na hi inathibitisha kuwa hata wao wanayaona madhaifu kutoka ndani ya familia yao
 
Kwa mara ya kwanza umeongea point
 
viko vingi sana, ndani ya nchi hata nje ya nchi, tena vingine less than 2 years
Ebu nitajie kimoja nimpeleke huyu kilaza wangu nae aende chuo kikuu huyu kilaza wangu kufukuzwa UDOM ana 3 ya 23.
 
ahahaahahaha MKUU njoo huku nimekutafta nikutag sijakuona, eti wadau wanasema mbona First Daughter ni KILAZA ila mi simo.
Kwani First daughter alipata div ngapi vile....
ahahahaahaha
Division 4
 
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado


Umeona?
Mambo ya akili ndogo vs akili kubwa!
Hapa kuwa na haja kwa Mkuu wa Nchi kulisemea kwa staili ile! Mkuu wa Nchi ana Waziri anayeshughulikia Wizara husika,ana Wanausalama; wote hawa anaweza kuagiza wamletee taarifa ,na pale anapojirithisha basi hutumia muda huo kuelekeza waziri azungumze nini ili kusiwe na mkanganyiko wa maelezo ndani ya Serikali mmoja.


Raisi anatakiwa kuliona hilo ili apate kufanya kazi na baraza lake kwa huru na mshikamano!
 
Kama elimu ya wanawe imemshinda hii ya nchi ataiweza? Kama huyu binti kaingia kwa magumashi mbona yeye kama mzazi hakumzuia?
Kwa kauli yake waliopata div 4 ni vilaza,ila kwa mwanawe siyo kilaza
 
Aliyapata mwaka 2011, udom anasoma shahada B. COM HRM tangu mwaka 2014 nina hakika Nimemjibu Maswali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…