Ameanza 2014.Huyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
Hata kama yupo UDOM hawezi hakawa alipotia NACTE na wala matokeo ya kidato cha nne hayakutumika!
Ndugu ushasema umesoma 2012 yeye kaingia hapo 2014 na Sasa anajiandaa kuingia mwaka wake wa mwisho amalize 2017 halafu 2020 anaenda kugombea jimbo aliloacha baba yake na Bila wasiwasi awamu ijayo ya bunge usishangae kumsikia bungeni hata kwa viti maalumu...hahahahahaahahahHuyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
Sasa division IV anaenda A level?
sasambona post iliwekwa 2012? Au imeeditiwa?Ameanza 2014.
Imeeditiwa.sasambona post iliwekwa 2012? Au imeeditiwa?
Makubwa yanaibuka..DaaahKwa bahati nzuri huyu nimesoma nae shule moja class moja na ufaulu wake naufahamu na tulimaliza wote 2011 na akaenda magogoni.sasa nashtuka sana kusikia yupo 2nd year Dodoma wakati angepaswa kuwa 1st year.yaani in short katoka certificate akaanza degree hajasoma diploma Kama inavyotakiwa
Kwa bahati nzuri huyu nimesoma nae shule moja class moja na ufaulu wake naufahamu na tulimaliza wote 2011 na akaenda magogoni.sasa nashtuka sana kusikia yupo 2nd year Dodoma wakati angepaswa kuwa 1st year.yaani in short katoka certificate akaanza degree hajasoma diploma Kama inavyotakiwa
hahaaa hatar kwel au alisoma magogon diploma then akaenda degree me narafik yangu alisoma st john dodoma alipata four ya30 akasoma diploma na saiv yupo degree mwaka wa kwanza hii ndo tanzania inabid watolewe warud ngaz za chin kusoma kwa mtiririko certificate mwaka mmoja then diploma miaka miwil kama st john nasikia ndoivyo ukimaliza form four wewe unaenda diploma moja kwa moja ukiwa na d 3 ndo certificateKwa bahati nzuri huyu nimesoma nae shule moja class moja na ufaulu wake naufahamu na tulimaliza wote 2011 na akaenda magogoni.sasa nashtuka sana kusikia yupo 2nd year Dodoma wakati angepaswa kuwa 1st year.yaani in short katoka certificate akaanza degree hajasoma diploma Kama inavyotakiwa
ameingia chuo 2014 wewe ulikua umemalizaHuyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
ameingia chuo 2014 wewe ulikua umemalizaHuyu mtt wa JPM hajasoma UDOM coz me nilikuepo miaka hiyo ya 2012 na nlikua nasoma hy coz Bcom HRM sikuskia wala kumuona huyo binti. Yawezekana alichaguliwa ila hakuja kusoma.
Kwa hiyo una maanisha mtoto wa makufuli ni KILAZA??Hivi kuna sehemu Magufuli amesema Jesca sio kilaza?...
Ok.Imeeditiwa.
Kwa mujibu wa raiskwani div. 4 ni kufeli ..?
Ni kweli kabisa ila yeye hajafukuzwaKwa hiyo una maanisha mtoto wa makufuli ni KILAZA??
Alisema mwenyewe Magufuli kwamba Division 4 ni vilaza. Ina maana hata Jesca John Magufuli ni Kilaza.kwani div. 4 ni kufeli ..?