Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
Kwani kuna alichodanganya???Dadadeki!!!,
mfukunyuku uliyeleta habari hii, TCRA wanaku-follow.
Hata kina Lizbon nao ni Vilazambona wakina Lizabon...hawaonekani humu wakichangia kulikon...hahahaa
Chato au Bagamoyo Road?Sawa kabisa, hivi unafikiri baba yake akimwachia asimamie ile hotel pembeni ya barabara pale Chato atakuwa amekosa nini?
Mkuu vipi unaweza nipatia picha yake?View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM
ELIMU YA MWENDO KASI.
anahoji comrade Ben-Rabiu Wa Saanane.
Swali la kuudhi na kuchochea ugomvi wa mawe ndani ya nyumba ya vioo kwa Baba Jesca.
Yaani huyo binti wa Baba Jesca alihitimu Kidato cha nne mwaka 2011 matokeo yakatoka mwaka 2012 amepata Div. IV.30 maana hata kiswahili lugha ya Taifa alikula F.
Kwa kawaida ilitakiwa aanze kusomea ngazi ya cheti mwezi wa 9 2012 mpaka mwezi wa 7, 2013
Kisha aanze Diploma mwezi wa 9,2013 mpaka mwezi wa 7,2015(Miaka 2) lakini huyu tayari yupo mwaka wa pili UDOM Alidahiliwa mwaka 2014.
Alipaswa awe mwaka wa kwanza.Amefikaje mwaka wa Pili? Au huyo ni mwanafunzi hewa?
Ukiwa nyumba ya Vioo usianzishe ugomvi wa Mawe
Hoja hii inaenda beyond matokeo .Kuna suala la udilifu katika mfumo wetu wa Elimu .
Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saanane
Huyu nayee, unaambiwa hajasoma five na six!....Kimahesabu kama alijiunga na kidato cha tano shule binafsi huku akiwa anarisiti mtihani wa kidato cha nne hiyo inawezekana kabisa!! Labda tutafute matokeo yake ya kidato cha sita.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hakuna diploma inayosomwa mwaka mmoja hapa nchini Tanzania kwa mfumo tuliona sasa ili MTU awe na diploma anapaswa apitie cheti mwaka 1 diploma kwa kozi za art na biashara ni miaka miwili jumla hapo ni miaka mitatu hivyo kwa MTU aliyepitia njia hii ya certificate hawezi kumaliza sawa na wenzake waliopitia direct. Kwa mchanganuo wako wa mtu aliyemaliza 4rm 4 2011 inatakiwa iwe hivi2011- form 4
2012-certificate
2013-2014 diploma
2015-mwaka wa kwanza
2016-mwaka wa pili
Mtoto yupo sahihi tuache majungu
Hehehehe wonders shall never end wallah hyo is called billion doller QN mkuuuWonders never end in this world! Magu jitokeze tuambie ulitumia mbinu gani kumpenyeza Jesca chuoni na sisis tuzitumie?
Tatizo jamaa karusha jiwe kumbe Kebbys hotel ni ya vioo na yumo ndani!! Wanampopoaje mkuu!!! Acha kabisa!!Mbona na mtoto wa kj alipata four akaenda advance ila hamkuongea sana
Umetumwa?View attachment 353228
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
============
View attachment 353229
Hayo ni matokeo yake na sasa hivi anasoma UDOM