Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,508
- 590
Du nimecheka mbavu sina! Pipo mpo tslented sana!HAKUNA NAMNA MAGUFULI AKALITOE LI KILAZA LAKE PALE UDOM HAYA NDO YANAYOTUHARIBIA NCHI
Kwa Mujibu wa Baba J huyu ni kilaza.Kwahiyo na yeye ni kilaza ?
Tatizo hujui hesabu bwegge wewe, kimahesabu anatakiwa awe chuoni mwaka wa kwanza semester ya pili, yeye mwaka wa pili amefikaje? Haya nenda kajambe urudi kujibu swali kilaza wewe.Huyu Binti wa JPM alianza kusoma Kozi ya Certificate ambayo entry qualification ni kuwa na alau "D" nne. Baada ya hapo akasoma kozi ya Diploma na baadaye sasa yupo chuo kikuu. Nadhani sasa hakuna tena utata.Ahsante
Malizia tu ni "Kihiyo" wa Makufuli....hahahahahhaha aiseee nilisoma kwa shida sana enzi hizo navizia mapindi mchikichini full kukanyagana na kukaa dirishani ukishindwa kuingia ndani na bado nikafaulu...huyu Kihiyo alipewa kila kitu na akafeli hahahahahahhaKwahiyo na yeye ni kilaza ?
Hata huko wanaweza kuumpa kozi zinazoweza kuumpa sifa za kudahiliwa kwa kozi ya shahada. Hebu vijana changamkieni fursa acheni kukariri kwenda chuo kikuu mpaka kidato cha sita. Vipo vyuo mbalimbali vipo NACTE huinua watu kwa muda wa miaka mitatu unakuwa na sifa ya kuchukuw shahada Mfano astashahada miezi 9, stashahada miezi 18 na mwanafunzi anatoka akiwa ni mtaalamu anaweza kuajirika na kupewa kazi za kitaalam tofauti na aliyetoka kidato cha sita kwani yeye si mtaalamu.Sio kweli huyu kapitia NACTE ambao wana dahiri wenye equivalent qualifications kama diploma angepitia TCU Kusingekuwa na tatizo.
Huyu Mbona kafaulu sana kuliko KUB- Bwn. Mbowe..
Division 4 akiwa anasoma katika shule nzuri kabisa ya private,je angekuwa anasoma kwenye mikangafuuu? Ya kayumba?Mpendwa Rais Magufuli ni kweli MWANAO alikuwa na DIV IV na yuko UDOM?
Kama kweli wewe ni mzalendo naye kamnyofoe huko!! otherwise utakuwa wa rangi mbilimbili!! hope utasoma ama wasaidizi wako wtakwambi kuwa matokeo yako JF
Mbona mh Kihiyo alikubaliana na jina ?!We unaitafuta Jela .
Sikatai mawazo yako lakini huyu kasoma miaka miwili tu yaani miezi 24 tu kaenda chuo Ebu niambie maajabu yaliyotumika ayatumie kilaza wangu.Hata huko wanaweza kuumpa kozi zinazoweza kuumpa sifa za kudahiliwa kwa kozi ya shahada. Hebu vijana changamkieni fursa acheni kukariri kwenda chuo kikuu mpaka kidato cha sita. Vipo vyuo mbalimbali vipo NACTE huinua watu kwa muda wa miaka mitatu unakuwa na sifa ya kuchukuw shahada Mfano astashahada miezi 9, stashahada miezi 18 na mwanafunzi anatoka akiwa ni mtaalamu anaweza kuajirika na kupewa kazi za kitaalam tofauti na aliyetoka kidato cha sita kwani yeye si mtaalamu.
Anajaribu kuhamisha goli, maana foward zinahambulia kama MSN kwa speed ya 4G.Mbowe kaingiaje humu ?! Au mbinu za adui ?!
NECTA CSEE 2011kaka, kama hii si kazi ya photoshop basi hili ni balaa sasa aisee. ila sidhani kama ni jambo jema na la busara kuchafua familia ya kiongozi wa ngazi ya juu!!!!!!!!!