Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Hiyo "academic privacy" ni creation yako mukichwa. Hakuna kitu kama hicho ulimwenguni pote.
 
Wanasaikolojia wanasema watoto wa kike hurithi IQ za baba yao na wakiume hurithi sehemu kubwa ya IQ za mama zao! This is scientifically proven, googke km ukitaka_! Sasa sijui hili linamaanisha nini!
Astaghfirullah! Maelezo yako yanaashiria one of the two explains all but mnh; mbona yote naogopa kuyasema!
 
Yaani hata kwa hili kuna wanaomtetea Magufuli! Kweli nachoka...alinunua boti chakavu akatetewa, akauza nyumba za serikali akapata watetezi, kwenye ufisadi Tanroads akatetewa, kwenye barabara hewa anatetewa n.k., duh!
 
kwiiii kwi kwiii, kapiga mbizi, du!!!!
kuanzia mwakani watatoa matokeo kwa namba za mitihani, mambo ya majina yanatuaibisha, wanaoafiki waseme siyo,
siyoooo, wanaopinga waseme ndio,
ndiyooooooooooooooooooooooooo!
Obrigado
....mwenzio kapiga mbizi yuko UDOM wewe umebaki umeikalia tu politic
 
harafu huyu Mtoto maisha anayoishi hapa udom ana ulinzi mkali sana kumbe na yeye kilaza tu
 
Na wale vilaza wa UDOM aliowasema Rais mbona hatuthibitishiwi matokeo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…