Mkuu,inaelekea una hasira Sana..hii tuwaulize TCU..Hii inaumiza sana..watoto wa watu wanahangaika kutafuta certificate,diploma ili waende vyuo vikuu huku watu wanapenyezwa kutoka form 4 kwenda university.!muulizeni alitumia mbinu gani kulichomeka li kilaza lake UDOM?
Wanafanya presentation kama mabubuHa! Ha! Ha! wanasema chemistry haina hivyo vitu , eti ni nambanamba tu , Kwi! Kwi! Kwi!!!!
Ajabu....kuna mtu humu kamuita "mwanafunzi wa mwendokasi" akimfananisha na yale mabasiMkuu,inaelekea una hasira Sana..hii tuwaulize TCU..Hii inaumiza sana..watoto wa watu wanahangaika kutafuta certificate,diploma ili waende vyuo vikuu huku watu wanapenyezwa kutoka form 4 kwenda university.!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo dogo ndio mkali wa lugha home? Wakiweka BBC/CNN anaitwa atafasiri?
Hakika yake,hataweza kuvumilia!Huu Uzi sidhani kama Magufuli atauvumilia, majibu tutapata baada ya siku chache tu
Kwani ana watoto hao wawili tu? Wengine wako wapi?ALITOE LI KILAZA LAKE PALE UDOM KWANZA NDO TUTAMUELEWA; KAZI KUWASIMANGA WATOTO WA WENZAKE TU WALIOPATA DIV ONE hadi three eti ni vilaza! mwambie huyo anayeyatumia madaraka yake vibaya kuchomeka vilaza
Mbona unakuwa mkali wakati amekuambia alisoma Certificate Magogoni? Ina maana hufahamu kuna chuo kinaitwa Tanzania Public Service College almaarufu Magogoni?!
huu uislam na ukristo tunaoendekeza kila kukicha.. Jipu litapokuja tumbuka Usaa..!?
Kiungo lizaboni,faizafoxy,ruttashobolwa na jingalao pumzi imekata wamelala tu uwanjani wakigugumiaMzee kapaniki... beki ina katika...
Hututoi kwenye mada mpaka tujue jesi kachukuliwa hatua ganiNinashangaa watanzania tunajadili udini.jamani tuachane na hizi tabia ndugu zangu...udini,ukabila au ukanda hauna nafasi katika dunia ya leo na Tanzania yetu.tuwakatae kwa nguvu zetu zote watu wanaotaka kutugawa katika misingi ya udini,ukabila,au ukanda.Sisi watanzania ni wamoja na daima hatutakubali mtu kutuchonganisha kwa misingi yoyote ya kibaguzi.
.... kwa hiyo ushuzi wa mtu mkubwa ndo haunuki au?Hivi ile heshima kwa viongozi wetu imekwenda wapi?? Hivi ni kudhalilisha familia ya rais, mleta mada hii sio busara hata kidogo hata kama ni kweli sidhani kuyaleta hapa ni sahihi. Hamjui kwamba mtu mkubwa hata akijamba hakuna kucheka???Tutunze mila zetu tusiropoke ropoke ovyo, TCRA njooni hapa ahojiwe na alete ushahidi
Ukilaza wa huyu mtoto upo kwenye DNA au kaambukizwa?
fungwe kachemsha....aende nyumbani kwake ..waweke chakula sebuleni halafu akakipigie ushuzi tuone kama wanafamilia watakila...... kwa hiyo ushuzi wa mtu mkubwa ndo haunuki au?
Unataka kulikuza ili livunje Nyumba?Je, ni kweli huyu ni mtoto wa Raisi Magufuli au ni mtu mwengine ambae ana Jina linalofanana na Raisi J. P. MAGUFULI?
Umeandika madudu gani? mbona mpaka sasa ivi yupo darasani wakati kuna walio fukuzwa tena ndani ya masaa 24?!!Watu wengine labda hata hamsomi vizuri; hamdhanii kuwa inawezekana hii ni sababu ya baba mtu kuchukua hatua alizochukua.. siyo yeye aliwataja kuwa "wapo watoto viongozi" jana?
Untetee nini na wewe nae, kila jina moja la madrassa mie natowa mawili ya Sunday school.