Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Wajuvi huwa wanadai eti mtoto hurithi akili zote toka kwa mama.

Hivyo msimlaumu sana Jesca wala baba yake.

Hiyo ni kwa sababu Jesca karithi hizo akili toka kwa mama yake.

Janeth Magufuli ndo kilaza.....teh teh teh.

Kwa hiyo mke wa Tundu Lissu atakuwa ni hatari eeh!
 
Lakini
Inawezekana mtihani si kipimo sahihi cha uelewa wa mtu Lakini sio kwa division 4 ya point 30. Tuliopita shuleni na kufanya mitihani tunajua umuhimu wa kupima uelewa wa mwanafunzi kwa mtihani.
 
Yaani tunaacha kujadili mambo muhimu tunakimbilia kujadili watu issue kama hakupata point zinazostahili ni kumtaja ili wahusika wachukuliwe hatua lakini sio kutetea watu wasiostahili kusomeshwa kwa kodi zetu humu ndani kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu uwezo wa wanafunzi na wahitimu wetu wa vyuo vikuu lakini baada ya serikali kuanza kuchukua hatua wengine kwa sababu ni miongoni mwa waathirika, wengine ndugu zao wameathirika na wengine kwa sababu wao ni watu wa kupingapinga tunabadilisha mjadala hao walimu ndio wanajazwa shule za kata ambazo watoto wa maskini hawawezi kusoma kwani private na international school hawawezi kuajili walimu wa namna hiyo hivyo watoto wasio na uwezo walikuwa wanaandali janga
 
Mwacheni Baba Jesca na Elimu ya Mwendokasi ya bintiye. Hana ukilaza wowote.Hiyo yake ni elimu ya Mwendokasi.
Heshima kwako Ben, kweli neno kilaza linaudhi, lakini hili la "elimu ya mwendokasi" linafaa sana kutumika.
 
Nyani Ngabu, Nikimuangalia Mugabe na mtoto wake aliyezaa na Grace naweza nikakubaliana na wewe

Hata Mwanaasha......unakumbuka naye alifeligi?

Salma naye alikuwa kilaza tu....mwalimu wa shule ya msingi kama Janeth.

Na tayari tushaambiwa ualimu ni chaka la waliofeli......
 
Naomba kama kuna mtu anaweza kutuchanganulia kwa majina na ufaulu Wa wale waliotimuliwa UDOM ili tuwajue watoto wa wakubwa aliowasema Rais na ufaulu wao.
 
Wajuvi huwa wanadai eti mtoto hurithi akili zote toka kwa mama.

Hivyo msimlaumu sana Jesca wala baba yake.

Hiyo ni kwa sababu Jesca karithi hizo akili toka kwa mama yake.

Janeth Magufuli ndo kilaza.....teh teh teh.
Mtoto wa kiune urithi akili kutoka kwa mama na mtoto wa kike kutoka kwa baba.
 
Nashindwa kuamini yani toka jana vijana wa lumumba wameshindwa ku deal na hii story ili ikose nguvu?
 
Kwa hiyo mke wa Tundu Lissu atakuwa ni hatari eeh!
View attachment 353533

Mimi siamini hivyo.

Naamini akili huweza kurithiwa toka upande wowote ule wa familia.

Hujawahi ona watoto wa familia moja ambao wamezidiana akili?

Kama kweli watoto wangekuwa wanarithi akili kwa asilimia 100 toka kwa mama basi watoto wote waliozaliwa na mama mmoja wangekuwaga wana akili sawa.
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa.
Wewe ndio waleeee.....umepigwa ngumi imekuingia ....unaanza kelele na kilio....ana jiwe mkononi,au kwenye mpira umepigwa buti ya uhakika unaanza.....ohhh six meno zake ,kaziwekea chuma,hebu lala chini tuendelee kukucharaza,mzigo wa fimbo bado ni mkubwa
 

Acha uboya ww kwan hujaona mama mchungaji mtoto mlev mbwa..
 


Huu ndio uhuru wa kutoa maoni mnaotaka wa kumdhalilisha Rais...upo mwisho wake wa haya yote, you will come to regret...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…