Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

"Wazee hawa ndo wametufikisha hapa tulipo, wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa, barabara hewa"
 
duu jf bwana watu wakimwaga mboga wenzako wanamwaga ugali..baada ya jk sasa ni dr pombe..
Wacha tu watu wamwage ugali, utawautaje watoto wa wenzake Vilaza huku yeye mwenyewe ana kilaza nyumbani mwake.
Ajabu huyu atamaliza anchukua kazi ya maana mjini hivi hivi huku wenye akili wakisota mtaani! Tanzania Hiiiiiiiiii
 
Sijaku
 
MKUU WETU ONYESHA UPENDO KWA MASIKINI WA NCHI HII, UNAOWAOMBA 'WAKUOMBEE MUNGU' KILA UNAPOHUTUBIA TAIFA, MASIKINI NA WATOTO WAO WALIOPOTEZA MUDA VYUONI NA VISENT VYA WAZAZI WAO. MASIKINI WANAOCHANGIA PATO LA TAIFA,WALIOPIGA KURA,WALIOTOA MCHANGO WA HALI NA MALI TZ IKAFIKA HAPA,WALIOKUFA MASIKINI KWA KUIPENDA NCHI HII NA WALIITUMIKIA KWA UAMINIFU, DUNIA HII TUNAPITA ILA KILA MTU ANATOA MCHANGO WAKE PALE ALIPO KUENDELEZA HII NCHI NA VIZAZI VIJAVYO,WENGI WALIOKO MAMLAKANI WAMEFIKA HAPO KWA NGUVU ZA MASIKINI NA VILAZA WALIOTANGULIA, BABU YANGU ALIKUWA KILAZA LAKINI ALILIMA KAHAWA IKAUZWA NJE, NCHI IKAPATA PATO LA KIGENI WAKASOMA WAKUBWA WETU WALIOTANGULIA..........
 
Tatizo mnachanganya mambo! Magufuli hakusema kama mtoto wake si kilaza. Amesema vilaza na wengi ni watoto wa wakubwa wamedahiriwa udom. Yeye hakujitoa kama hayumo
naona unajitia upofu katika hili,mada hapa ni mtoto wa ngosha kafikaje chuo kikuu na alikuwa na four o level
 
Ndugu wa forum mie pia nimeguswa na huu upotoshwaji unaoenea kwenye hii thread, kwa data nilizonazo kutoka kwenye reliable source ni hivi.
Ili kufika kusoma degree kwa nchi yetu kuna njia mbili watu wanapitia

1. Kutokea A level
2. Kutokea Diploma na si vinginevyo na kwa yule mwenye diploma kwa taratibu za NACTE ni lazima awe amepitia mafunzo ya miaka mitatu yaani NTA Level 4 (Basic Technician Certificate) mwaka mmoja, then NTA Level 5 (Technician Certificate) kwa mwaka mmoja na NTA Level 6 (Ordinary Diploma) kwa mwaka mmoja. Na utaratibu huo Huwezi kuvuka level moja kwenda nyingine kama huja qualify kwa GPA ya 2.0 yaani Pass au zaid kutokana na vigezo vitavyoelekezwa na chuo but isipungue hapo kutoka kwenye level ya chini.

Pia ili kusoma NTA level 4 yaani entry level qualification za NACTE ni Pass 4 Olevel kwenye masomo yasiyo ya dini na tukiangalia huyu anaye zungumziwa hapa anavyo na kilicho mpeleaka chuo kikuu ni diploma ambayo kutokana na taarifa nilizo nazo huyu anazo na alifaauli vizuri diploma ya HR pale Public service Institute Na kupitia mfumo wa udahili wa pamoja kati ya TCU na NACTE akachaguliwa Chuo kikuu dodoma kama inavyoonyweshwa kwenye kozi ambayo alisomea diploma yake.

Huu utaratibu upo sehemu mbalimbali duniani walio na mifumo ya Technical Education Fuatilieni mjue ukweli an sio kupayuka tu bila kufanya reaserch

Nawakilisha
 
NACTE wanadahili wanafunzi waliomaliza Form 6? kama ujui bora ukaficha ujinga wako.
kuna watu hawaelewi hapa kwamba mfumo wa nacte unatumika kwa watu waliopita diplomo katika vyuo mbalimbali pamoja na ufundi
 
Tatizo la haya Makonde jamaa hapigwi knockout wala nini, anapigwa mdogo mdogo,,, mdogo mdogo... Acha na mimi nitupie la kwangu la hapa kati chembe kidevu... "MZEE TUELEZE HUYO KILAZA KAFIKAJE CHUO KIKUU???? "
 
mleta mada, njoo na taarifa iliyokamilika mkuu. jiulize kwanza kwa nin amepitia NACTE na sio TCU. navojua wanaopitia NACTE ni wale waliomaliza vyuo vya elimu ya kati, diploma ikiwemo na ufundi. sasa njoo na kigezo kilichompitisha nacte tuendelee kujadili.
 
Ewe uzi aka thread, nakuamuru kwa jina lake yeye aitwaye yeye, fikisha page 100 and beyond uvunje rekodi! Mh Pombe na Lumumba mnalo!
Mkuu tuwasiliane nijue namna ya kusambaza mzigo huku mikoani tupige pesa.
 
Nimeipenda
 
Mwenye namba ya jesca aniibox nimsaidie mdogo wangu .
 
Chuo chochote chenye program maalum ya kuwawezesha wanafunzi wawe na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu.Baadhi ya vyuo huiita Foundation Course
Ni kweli kuna baadhi ya vyuo huwa wana hiyo foundation course mfano SAUTI lakini hii ni kwa wanafunzi ambao hawajafika kuwa na minimum requirements kwa ajili ya kujiunga na chuo, mfano ili ujiunge na chuo uwe principal 2 kwa direct au kwa diploma GPA 2.7 lakini sio kuruka hatua aidha kwa form six au kwa njia ya diploma, kwa mfumo wa elimu uliopo sasa hauwezi chukuwa diploma na certificate miaka 2 tu halafu uende ukasome foundation courses maana hata sifa ya kupata cheti cha diploma unakuwa hauna.
 
moderators wana double standards. matokeo ya mbowe hawakutaka tujadili walifunga mjadala huu wanauacha ukiendelea kudhalilisha watu sio sawa kabisa
TULIA TULI WEWE ACHA KURUKARUKA SINDANO IKUINGIE VEMA NINYI HAMNA CHENU HAPA BUKU SABA KWENYE MADA NYINGINE HII NI KAA LA MOTO.
 
Mkuu hakuna anayekataa utaratibu huo kwa maana kuna wengi wametumia njia hiyo leo wana PhD lakini tunaangalia muda aliosoma huyu kasoma miaka 2 baadala ya mitatu.
 
Chuo chochote chenye program maalum ya kuwawezesha wanafunzi wawe na sifa ya kudahiliwa chuo kikuu.Baadhi ya vyuo huiita Foundation Course
Kwa hapa Tanzania chuo gani kinatoa programu maalumu kuwawezesha wanafunzi wenye div 4 ya 30 kudahiliwa chuo kikuu?
 
Hahaha Tz haiishi vituko, wakati Lugumi yupo kikaangoni na taarifa zake zpo moto... wajanja wamekuja na staili nyingine ili watu tusahau na yeye aendelee kufunga vifaa vyake kwa utulivu kabisa na mwisho wa siku ile kamati ilopewa jukumu la kufanya uchunguzi juu ya lugumi ikipewa pesa ya kuanza kazi na bunge, jamaa atakuwa ameshamalza kazi yake na kamati itarudi mikono mitupu.
 
Wewe mpumbavu acha usumbufu mbona hiki kitu kipo wazi?
Ni hivi baada ya baadhi ya vyuo vikuu kupungukiwa wanafunzi waliofaulu kidato cha sita,viliandaa programu za kuwaendeleza wanafunzi wa kidato cha nne ili kuwapatia sifa za kudahiliwa chuo kikuu kwa miaka mitatu. Hichohicho chuo ndicho kinamuandaa na kumdahili. Hivi vitu vinafanyika siku nyingi ila kwa kuwa Mbowe kawafanya muwaze kuzunguusha mikono wala hamfikilie mambo yanayowahusu nyinyi na familia zenu na kuona maisha magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…