Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Chuo gani hicho nimpeleke mtoto wangu asiyeende form 5? Hicho chuo kinasoma mfululizo bila kupumzika wala kwenda field hizo ndizo elimu ambazo hatuzitaki na kama ni kwanini muafukuze watoto wanaosoma diploma miaka 3.?
 
Usituchanganye bhana! Huyu ni mtahiniwa wa mwaka 2011 na kwahiyo matokeo yake yalitoka 2012!

Any study program, ingeanza anywhere from July 2012 to September 2012 na kwa hesabu zako ingeisha anywhere from May 2014 to July 2014.

Haya piga hesabu sasa kutoka July 2012 hadi July 2014 halafu utuambie hiyo miezi ZAIDI ya 30 inatoka wapi!
 
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
 
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
Kwenye hivyo vigezo ongeza na MAMLAKA
 
Kumbuka alimaliza 2011 na matokeo yalitoka 2012, ambapo mpaka2014 difference n miaka miwili
 
Aisee! Kwahiyo pamoja na kumaliza Form VI lakini bado akadahiriwa na NACTE badala ya TCU?!
 
Dada unachokisema ni sahihi kabisa, Jesca amehitimu mwaka 2011 matokeo yakatoka 2012 kama ni kuanza chuo alianza mwaka 2012 Agosti mpaka mwaka 2013 mwezi wa 6 au wa 7 kutegemea na chuo husika baada ya hapo chuo hufungwa walimu husahihisha mitihani na kutoa matokeo mwezi wa 8 hadi wa 9 vyuo hufunguliwa tena hivyo Jesca angeanza mwezi 8, 2013 kusoma diploma kwa miaka 2 hadi 2015 mwezi 7 lakini Jesca 2014 tayari alikuwa yupo hapo ndipo panapo leta utata.
 
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
Acha kutetea upuuzi orodhesha njia za mwanafunzi aliyemaliza form four 2011 akapiga four 30 kisha kwa miaka miwili uweze kusoma certificate na diploma kisha amalize matokeo yatoke na achaguliwe chuo....mfumo upi alitumia
 

Hivi hizi unazotoa hujioni una qualify kuitwa kilaza Mkuu?
 
Hahahahahhqhq ningeweza kuwalaumu wazazi wako kwa kuzaa taahira...huna hoja unaruka ruka kama ndege mbweha weee... mara uingizie siasa mambo ya kina mbowe mara wanafunzi waliofukuzwa UDOM inaonesha una utindio wa ubongo... mada ni Jessica aliweza vipi kudailiwa chuo kikuu ndani ya miaka miwili ingawa alifeli form four....Acha kutoka nje ya mada Kima wa kishetani weeee
 

Ndugu kwani lazima utukane watu? Hili ni jukwaa la wasomi shindana nao kwa hoja wakikushinda basi jua wewe una uelewa mdogo katika hilo eneo, sio lazima ionekane wajua kila kitu
 
bila shaka we ndo jesca, kama div iv ni ukilaza basi iwe hivyo kwa watu wote. tatizo kuu unaona yule ni mungu wako!

Jibu swali: Baba yako mzazi utamchezea hivyo
 
Mumuacheni mtoto wa watu asome.
Kwa hoja ipi ya kutetea kauli yako, kwanini kama kiongozi mkubwa wa nchi asiwe mfano, akiwa waziri awamu ya nne mwishoni mwanae ndio aliboronga matokeo na kwa kujua anavunja sheria na kanuni za mitaala ya nchi akaafiki mwanae apite njia za panya, Leo hii watoto wa masikini wanashindwa kusoma, wanakufa njaa na wengine hali mbaya wanakaa chini mashuleni, kesho kesho kutwa Kilaza Jessica atachaguliwa ubunge viti maalumu aendelee kula mema ya nchi kama VILAZA wa viongozi wengine hapa nchini...halafu simply unasema tu mwacheni mtoto wa watu asome, you must be kidding
 
Jamani naomba mniombee ili niweze kusimamia sheria
It's time to reserve my prayers cause I have just discovered that we have many gods probably,but for sure that's not my God
 

Ubaya wake ni nini mkuu?! Mbona unapenda mambo ya giza sana? Ubaya uko wapi sasa?



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Unajifanya hujaelewa????Baba yako mzazi unaweza ukamdhalilisha hivyo kama unavyomdhalilisha Rais?
Swala ni Jessica amedahiliwa vipi chuo kikuu...and lemme remind you tunatokea katika background tofauti tofauti na kutokana na kasi ya ukuaji ya utandawazi kila kitu kipo wazi...mzazi anaheshimiwa na sio kuabudiwa...kama mzazi amekosea unamrekebisha lakini katika njia sahihi...hakuna aliyemdhalilisha huyo baba yako ila tunajadili mtoto wake amefika vipi chuo kikuu within two years only??? Usichoropoke nje ya mada hatutaki mada ndani ya mada
 
Acha umbumbumbu wewe, kwani hukujua aliowaita vilaza pia wanahitaji staha pia, acha kujikomba kipuuzi hata hakujui utadhalilika bure humu

For your information wewe ndiye unayedhalilika...In fact wewe ndiye mbumbumbu mkubwa na ni wazi wewe ni 'kilaza' wa issues mbaiimbali...hujui unachosema, hujui mipaka yako, hujui maana ya uhuru wa habari,na hujui maana ya 'kilaza'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…