Alisoma Arts ya Commerce...matokeo ya o level without biology???
Uliza aliwaita wale wa UDOM vilaza na wana div 3 na 2kwani div. 4 ni kufeli ..?
UNATAKA KUSEMA ANAJUA KIZUNGU KUMZIDI .........bora yeye kiinglish ana "C"
HAO WOTE VILAZA KAMA ALIVYOSEMA LEOJesca J Magu Vs Mwanaasha wa Msoga
Anasomaje? certificate ya commerce >diploma to bachelor huku ana mswaki wa commerce na hesabu?Hapo nakuelewa mkuu mana hata mkulu leo amesema ni bora ukimaliza 4 uende kwanza cert, dip then bachelor degree
Kumbe alijua alichokuwa anatetea
Tangu 2012???? How???Alisoma cheti baadaye diploma na sasa degree hii ipo sawa
Muosha huoshwa.
Mmoja alimaliza Fedha Girls mwingine St.Matthew wakachezea 4 wote.Jesca J Magu Vs Mwanaasha wa Msoga
ingia hapa http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DMHiyo photoshop, NACTE hawadahili wanafunzi wa digrii / chuo kikuu, vyuo vikuu vyote vipo under T.C.U.
hii system kaja nayo mama ndalichako ?
Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Nataka kujua na huyo kilaza naye anakaa ikulu?? Kama ndiyo ikulu ya nchi inatunza vilaza ama make watoto wa wenziwe ndiyo vilaza.?Maisha ya huyo Dogo ni ya kwake. Na huenda akawa na maisha mzuri regardless div. IV yake. Do your own for ur success
teh teh teh teh Magamba ndio mmeambiwa mjibu hivo?? Maana wote ndio jibu lenu hilo..Hiyo photoshop, NACTE hawadahili wanafunzi wa digrii / chuo kikuu, vyuo vikuu vyote vipo under T.C.U.