Mtoto wa marehemu John Komba amshauri mtoto wa Ndugai... CCM sikieni

Shule ilikuwa na mkopo wa benki usiolipika.
Taasis nyingi zina mikopo hailipiki na mali haziuzwi... You think Komba angekuwa hai na huku na kule akapata na uwaziri 2015 wangeuza?

Anyways, anachosema jamaa ndio ukweli, hakuna urafiki wa kudumu, ni maslahi tu. Kwanza nina uhakika walianza kuona pale alipojiuzulu Uspika. Ni watu wachache wanaweza kuendeleza utu.

Mzee wetu mmoja alitumbuliwa ukurugenzi, alipoteza kila kitu. Nakumbuka alikuwa anafurahi sana mkienda kumsalimia.... Kauli yake moja tu, "wageni sina siku hizi, nyumba haifuki moshi i.e hakuna nyamachoma 😂😂😂"
 
Ni kweli lakini laki 5 tu ndio walikuzimia data
 
Mzee wetu mmoja alitumbuliwa ukurugenzi, alipoteza kila kitu. Nakumbuka alikuwa anafurahi sana mkienda kumsalimia.... Kauli yake moja tu, "wageni sina siku hizi, nyumba haifuki moshi i.e hakuna nyamachoma 😂😂😂"
Huyo Mzee wenu naye alikuwa mpumbavu. Alifikiri atakula nyama choma za ukurugenzi milele?

Mimi namshangaa Ndugai kuamua kugombea ubunge tena licha ya kuwa na investments kibao na marupurupu ya spika mstaafu.
 
kubwa jinga,linalialia kuhusu Baba. Tena limesomeshwa mpaka degree,fight kivyakovyako .Huna familia yako?
 
Huyo Mzee wenu naye alikuwa mpumbavu. Alifikiri atakula nyama choma za ukurugenzi milele?

Mimi namshangaa Ndugai kuamua kugombea ubunge tena licha ya kuwa na investments kibao na marupurupu ya spika mstaafu.
Hakuwa mpumbavu, ndio maisha mkuu. Tujifunze tu.

Hawa wazee wengi sio wafanyabiashara wa kweli, wengi ni political power ndio inawapa ulaji, hawalipi kodi stahili, wanapewa mikopo isiyo na kichwa wala miguu. Au hujaona mkopo wa 1 Bil kutoka Bank fulani kwa kiongozi fulani wa Police. Hawa wamezoea mapesa mengi yasiyoeleweka, hayo marupurupu ya speaker mstaafu ni peanuts.

Nguvu ya mamba kumayi! Wakitoka wanapotea mazima.
 
Ni kweli. Binadamu haturidhiki, lakini kwa investments za Ndugai ilikuwa ni muda wa kupumzika ale matunda ya miradi yake.
 
Hakuna mtu aliyekuwa anaibeba CCM kwenye nyimbo za kampeni kama kapteni Komba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…