Tumia akili wewe. Kuna Bar pale pombe kimbao.About Us - Dar es Salaam Yacht Club - Zanzibar, Tanzania
The current objective of the Club is: the encouragement of amateur yacht and boat sailing and racing, deep-sea fishing, scuba diving, kayaking and other aquatic sports.
Tumia akili wewe. Kuna Bar pale pombe kimbao.
Hata kama alikuwa kanywa kutupwa kwenye maji anaweza kutupwa na wakala wa magu unafikiri watakuja wakijitambulisha kama ccm. Acheni siasa chafu na za woga wa ajabu nyie chama zee.Wewe kweli kilaza,duh ina maana huyo Cha pombe mdogo kashikwa kanyeshwa ugimbi kapigwa halafu katupwa kwenye maji na CCM? Hivi mwenzetu unawaza kwa kutumia Nini
Kwani wasiojulikana no akina naniMtoto wa nyoka ni nyoka.hapo watasingizia watuwasio julikana wakati mtoto nae ni mlevi kama baba yake.
,inajulikana wazi pale starehe kubwa Ni yatching.surfing. na ndio maana ikaitwa yatch club Ila ipo bar na mgahawa wa chakula na weekends panakuwa na live bandWanajua ni kama li disco
Wangejua pale starehe namba moja ni yatching, surfing na mambo mengine.....
Ova
Umeona eehjh!noma sanaIla Kuna miamba inakula Bata jamani! Raha ya kuzaliwa kwenye utajiri hakyanani....Mungu akunusuru upone!
Huwa nakufikiria kama binti mpole, may be mjukuu wangu, , kauli nzuri, kumbe loh! haya jioni njema!Pole.
Poleni sana Familia ya Mbowe, mikosi gani hii, ...
Sana TuNisiposema pole pengine nikaonekana nna wivu wa dola 500,.lol lakini kuna majanga mengine ni ya kujitakia tuu...ulevi???ππ
Ila Kuna miamba inakula Bata jamani! Raha ya kuzaliwa kwenye utajiri hakyanani....Mungu akunusuru upone!
wasiojulikana.Kwani wasiojulikana no akina nani
Hii umesema wewe..Nani kasema. Hayo?Kunywa pombe ndiyo kula bata??
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Hii umesema wewe..Nani kasema. Hayo?
Acha roho mbaya binadamu hawafanani ....Kwakweli
Wengine Wahaha Huko Mulyabhibhi Daraja La Kikwete Kigoma Hata Hiyo Club Hawaijui
Wengine Vyeti Tele Wanahaha
Acha Tuone!!!!πππΆπ€¨π
Hizo dola 500 kwa mwaka zimewashangaza sana wadau humu japo kwa mwaka si nyingi kihiivyo kama una chanzo kizuri cha mapato.Nawashangaa watu wanaolalamika fee ya dola 500 kwa mwaka. Yani kitu kama 1.3M ndo inaonekana ni hela nyingi kwa mtu kama Mbowe. Akienda kula bata vibandani napo kuna watakaolalamika kuwa yuko local. Chamsingi hajavunja sheria za nchi wala za maadili, hii ni sawa na watoto wa uswahilini kwenda beach kuogelea.
Nimekumbuka sister mtangazaji alivyonambia yeye haruhusiwi kupanda daladala, mtu akuone unatangaza habari leo kesho mgombee seat.
Mumlaumu aliyemnywesha, sasa mnamlaumu MAGU amehusika vipi hapo?Hizo pombe wewe ndio ulimnywesha!?
Huu si Uungwana wala ustaarabu, grow up.MiChagga ndo shida yao...yanaonaga raha sana kuwanywesha watoto pombe.