Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Mbowe kweli tishio.
Hata ale embe dodo lazima iwe news.
Huyu nanihii alilazwa juzi juzi sikuona hata Uzi mmoja. Why Mbowe?
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka.hapo watasingizia watuwasio julikana wakati mtoto nae ni mlevi kama baba yake.
Heri anaekunywa pombe kwa hela yake,huyo anajua mboga 7 kabla hajazaliwa.
Wewe shida na dhiki ndio makuzi uliyokulia
 
Kumbe sawa kabisa baba Dj na fan ya ulevi . Tuangalie hii ishu ya kulisishana sio hata kule Zanzibar tuwe makini pia. Haya maswala yananitia shaka. Hii ni aibu kwa CDN
 
Tuwe makini na zile ela tunazokatwa wabunge . Isije ikawa ndo zinafanya kufuru ya ulevi ulio kithiri
 
Maji hufuata mkondo. Mbowe kamrithisha ulevi mwanae.
Hakika ulevi tumeumbiwa wanadamu . Mwache mwana alewe kama Baba.

Muhimu kupeana Mbinu ya kuepuka dhambi ya urithi tu. Mana inatukula wanadamu sana.
 
Naimani ipo siku ntaingia hapo hata kwa mwaliko maalumu
 
Baada ya kufurahia watu wanavyotumia pesa wewe unataka watu wawe maskini utadhani wataishi Duniani milele mzunguko wa pesa utakuaje kama hutaki matumizi yawepo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…