Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,294
Yaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..
All of the aboveKaanguka kama ajali, kuzidiwa kilevi au ugonjwa?
Na iyo ni nje ya matumiz.... yan unalipia kuingia..Yaani unatoa Dola 500! Aisee! Tz hii hii..
Simjui mmiliki, lakini kuna fortune ya maana paleMmiliki ni Nani? Nikija dar na Mimi nitajiunga
California love
Sasa wanakunywa ki VIP ila alcohol ni ile ile ama siyo ?Hivi unafikiri hapo yatch club ni kucheza sebene
Au Kuna disco..... Kama kunywa hapo watu wanakunywa ki VIP
starehe kubwa hapo ni uvuvi na wengi wa members Wana boti zao....
Kuwa mtulivu subiria ripoti kamili ni chanzo cha yeye kuumia
Ova
Umelewa!?Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Kuna watu humu leo nimeamini kuwa kichwani ni weupe mno kupita maelezo. Neno "club" limewapa maana moja tu wanaoijua wao,sehemu ya pombe! Kweli v.laza hawataisha.Hivi unafikiri hapo yatch club ni kucheza sebene
Au Kuna disco..... Kama kunywa hapo watu wanakunywa ki VIP
starehe kubwa hapo ni uvuvi na wengi wa members Wana boti zao....
Kuwa mtulivu subiria ripoti kamili ni chanzo cha yeye kuumia
Ova
Hizo pombe wewe ndio ulimnywesha!?Hizo pombe alinyweshwa na MAGU?
mm uwa sielewagi watu wanao sifia venue wakati mtungi stimu ile ile bora mm mzee wa local pubSasa wanakunywa ki VIP ila alcohol ni ile ile ama siyo ?
ina maana huna dollar 500 hadi leo?Hivyo ndio viwanja sasa ngoja niongeze bidii ya kutafuta hela.
CCM inahusikaje hapo? Ndio iliomtuma alewe au afanye starehe? Acha unyumbu Wako
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Kweli kabisa Wala wasitafute sababu
Wanajua ni kama li discoKuna watu humu leo nimeamini kuwa kichwani ni weupe mno kupita maelezo. Neno "club" limewapa maana moja tu wanaoijua wao,sehemu ya pombe! Kweli v.laza hawataisha.
Na wewe jitahidi kuendelea kuuza uchumi wako wa kati ili ujiongezee ruzuki yako.Wajinga ndio mliwao.....ruzuku inapigwa
Amefanyiwa kitu na vijana wa magu si bure.Hizo pombe alinyweshwa na MAGU?
Wewe kweli kilaza,duh ina maana huyo Cha pombe mdogo kashikwa kanyeshwa ugimbi kapigwa halafu katupwa kwenye maji na CCM? Hivi mwenzetu unawaza kwa kutumia NiniHii mbinu ya kumsababishia mshindani wako matatizo ili abaki anashughulika na matatizo ili kumuua nguvu. Kweli Mbowe anapigana na jeshi lote la polisi na usalama wa taifa ana kazi kubwa mwenyekiti wetu. Nina uhakika kuna makubwa yanafichwa kwa nguvu zote ila haki itatendeka tu mwishoni.