Mbunge wa ndugai huyo,kipindi amejitoa chadema ndugai na genge lake walimkingia kifua akaendelea na ubunge kama kawa wakati kisheria hakuwa na chama kama miongozo ya kisheria isemavyo!Lazima atakuwa wa ccm !Uchaguzi uliotuletea hili bunge kuna mpinzani aliyepita ?
No Beatrice ni jina la mtoto WA mwambe mkubwa yupo hai.Duh.......!
RIP Beatrice
RIP Cecilia
Kujifunza kufa.Sijatafsiri kwamba ni tabia mbaya, mtoto yoyote lazima umlee katika maadili ya usikivu na utekelezaji kwa kile unacho muambia kama mzazi. Kama hutoweza mlea katika njia hiyo ni tatizo hilo. Kila kitu kina mipaka hasa katika malezi, mtoto anapanga juu ya ukuta kujifunza nini ?
Kweli na juzi hapo alinusurikq kufa na familia yake kwenye ajali ya moto gari iliwaka moto.
Mke wake wa kwanza alikuwa anaitwa BeatriceNo Beatrice ni jina la mtoto WA mwambe mkubwa yupo hai.
hata niwe na pesa nyingi za kuchezea swimming pool siwez kujenga nyumban kwangu... Hata watoto wangu sitak wajue kuogelea, mimi maji yakinifika kwenye magoti nageuza kwa kukimbia
hata niwe na pesa nyingi za kuchezea swimming pool siwez kujenga nyumban kwangu... Hata watoto wangu sitak wajue kuogelea, mimi maji yakinifika kwenye magoti nageuza kwa kukimbia
Aisee ilikuwaje au na yeye alijibamiza?Na sisi wengine tunavyopenda maji, tukikosa kuyachapa kwa muda fulani wa likizo basi akili inakuwa nzito kweli,maji yalituondolea rafiki kwenye kina kirefu sisi tulijua mwenzetu ni mzoefu kwa kuwa alitutambia sana kuwa yuko vizuri loooh kwenda kinani huko kumbe sivyo Kama alivyosema Yan tafuta Sana haonekani majini Hadi kuja kupatikana looooh tayari tushapoteza mtu sooo sad ila still tunapenda maji...
Umenichekesha sana mkuu eti hata ya ndok naoga fasta natokaKuna sku tulikua kwenye program moja iv iko recoded sasa ikawa tuko hotelin kwenye swiming mm nmekaa kanda ya ziwa zaid ya miaka 13 wenzangu wa kanda ya ziwa wanaogelea kama kambale nkasema ngoja na m nijtose kwenye hayo maji asee amna rangi skuona kumbe nljrushia parefu nkawa nakunywa maji tu wao wananletea kamera wakdhan n mbwembwe zangu nlipambana sana mpka kufka kwenye ukingo wa swimng nkatoka maskion maj yanatoka yamoto puan maji yanashuka inshot sitak mazoe na maji hata ya kwenye ndoo naoga fasta natoka
Waislam hawanaga mambo mengi. Sebulen Ni mwendo wa mikeka tu. Na pembezoni mwa nyumba sehemu ya kumuabudu MunguPole wafiwa, tho kuna vitu nyumbani sio lazima.
Kwa wenye pesa ni kuzuri ila sometimes sio salama.
Kuna nyumba nilienda wiki mbili zilizopita, ofcause ni sehem matajiri wanapo ishi, kule hata boda boda kukutana nae ni nadra.
Nikiwa nimekaa nacheki yale mazingira, nikayatamani ila nikajiuliza haya maua yaliyopandwa kwenye ndoo afu ndoo zimeninginizwa kwa juu hivi humu hakuna watoto? Ni kweli alie design mule ni fund, mazingira ya nje yanavutua sana ila lile lindoo gafla lichomoke hukoo juu na mtoto yupo hapo nini kinatokea?
Kweli sehemu ni tulivu humo sauti za ndege ndo zinasikika. Nikajifanya kumuuliza maza house, " mama mbona hapa pako kimya hata wajukuu wa kukupigia kelele hakuna?"
Akanijibu wajukuu wako majuu na wazazi wao, wengine wako uk ndo naenda kuwatembelea, ikiwezekana nitapita canada kijana wangu yupo huko na wajukuu wengine wako huko, nikaguna moyoni mmmmmmh ndo maanaaaa.
Na hilo li swimming pool limo, sasa najiuliza nani analitumia wazee wa vile nao wanaogelea ili iweje?
Enewe pipo havu laifu.
Yule alikuwa D'Banj.yaah noma sana kuna yule msanii wa africa sijui 2face nae alizika mwanae kisa swimming pool
Si unamkumbuka yule mzenji Ali dive akajibamiza mpaka mwili wake ukapatwa na kupoozaAisee ilikuwaje au na yeye alijibamiza?