Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

Expert mtoto anapelekwa shule anasema anaenda kufanya nini cha ziada

Halafu wewe unataka awekewe makolokolo unafikir atasemaje?
 
Sitaki nikuaminishe kwenye ushirikina,ila Kuna mdada rafiki yangu alikuwa na shida hiyo mtoto darasa la 4 hataki shule kapiga na walimu akachoka,nikampa kushauri nenda sehemu ,mtoto sahivi anapenda shule hatari jiongeze usije PM sitoi connection ila jiongeze
 
Ms
Msijenge jamii ya hovyo, we mabaya gani ulonayo yaliyotokana na viboko ulivyochapwa??
 
tafuta mwalimu wa nyumbani mfundisheni akiwa mazingira nyumbani.

kupata elimu sio mpaka mtoto avae sare abebe begi kidumu na ufagio akae kwenye kidawati aangalie ubaoni.
Shule ni zaidi ya vitabu na mafunzo ya mwlm.
 
Mpo na mkubwa wenu hapo nyumbani muangalie vizuri. Yeye kashaona hakuna la zaidi huko shuleni sasa ninyi mnafikiri kakosea?!
 
Expert mtoto anapelekwa shule anasema anaenda kufanya nini cha ziada

Halafu wewe unataka awekewe makolokolo unafikir atasemaje?
Kwanza kwa umri huo mtoto ataona amepewa zawadi. Halafu sidhani kama kuna mzazi hata huko Ulaya atakayeweza kumudu gharama za hayo makorokoro huku akijua fika kwamba huo mradi sio endelevu kwani mtoto nunda kama huyo anaweza pia kuyakataa.
 
Ms

Msijenge jamii ya hovyo, we mabaya gani ulonayo yaliyotokana na viboko ulivyochapwa??

Sina kumbukumbu ya kubamizwa na vichapo vya mkono au fimbo au lolote la kiunyama

na adhabu nilipewa na zikaninyoosha sana tu hadi leo Amina.

Kasome uyajue
Kama ni wewe basi kaa chini jitafute.. Utaelewa tu..
 
Mpe dozi ya mwezi mzima ya content za kishule za watoto wenzie, atabadili mtizamo.

Wangu alifika la pili akagoma shule, karibu kila njia ilishindikana bt dozi ya content za kishule zilimrudisha ktk mstari.
 
Mpo na mkubwa wenu hapo nyumbani muangalie vizuri. Yeye kashaona hakuna la zaidi huko shuleni sasa ninyi mnafikiri kakosea?!
Walisemaga 'Ukiona Elimu ni ghali basi jaribu Ujinga"
 
Sina kumbukumbu ya kubamizwa na vichapo vya mkono au fimbo au lolote la kiunyama

na adhabu nilipewa na zikaninyoosha sana tu hadi leo Amina.

Kasome uyajue
Kama ni wewe basi kaa chini jitafute.. Utaelewa tu..
Huna kumbukumbu nyuma ya kubaibinye lkn ulichapwa
 
kama kwel alilia akiwa tumboni alitakiwa akufie huko huko ndan ya tumbo kwa kumeza amniotic fluid.......alilia na akatoka mzima daaah huyo mpeleke hata ukrain akakae msitari wa mbele vitan huko.
 
Huyu mzazi ni mpumbavu majinu yake yanakuonesha ni namna Gani amemlea mtoto no wonder mtoto kuwa na matabia ya ajabu ajabu
Kabisa , Uzi wake aliouleta na majibu yake..haishangazi mtoto wake ku behave in such a way.mtoto wa miaka sita anamshindaje?? Inashangaza Sana.
 
kama kwel alilia akiwa tumboni alitakiwa akufie huko huko ndan ya tumbo kwa kumeza amniotic fluid.......alilia na akatoka mzima daaah huyo mpeleke hata ukrain akakae msitari wa mbele vitan huko.
Wazazi, Wazazi - WAZAZII!!?? Mbona wazazi wamejiweka chini (Inferior) kwa mtoto weo? Kweli ww, esp.Baba; aliamini mtoto anaweza kulia na sauti ikasikika kutoka tumboni kwa mama yake? Hapo kuna tatizo au changamoto kubwa.
Mm nashauri sio apelekwe Ukreni bali Gaza.
 
Reactions: a45
hahahahaha😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…