Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Haya ni matokeo ya malezi mabovu...🤨Comments😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni matokeo ya malezi mabovu...🤨Comments😅😅
Inawezekana kabisa. Mimi mtoto akinijibu hivyo labda sijamzaa mimi.Haya ni matokeo ya malezi mabovu...🤨
Aiseee uyo n kwa fimbo tu mpaka atsema kila siku anataka kwenda shule, sasa mtt mdogo anakusumbua sbora wee ufe tu sasa unafaida ganiNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
KomasavaSerikali iangalie hili swala vizuri maana hali si nzuri.Umri wa vijana kuoa uongezwe angalau 35+ mpaka 40 kijana anakuwa na akili za kiutu uzima.
Nyuzi za kivulana kama hizi zinachosha na imeanza kuzoeleka wavulana waliokimbilia majukumu kuja humu kulalamika vitu vya kijingajinga.
Malezi, haja accumulate hiyo tabia kirahisiNi wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Hiyo ndio solution kwa watoto sugu. Apelekwe mazingira ambayo hamna a lot of option, akili itamrudi tumuhamishie mkoani kwa bibi yake atabadika na kubadilishwa na mazingira tu 🐒
🤣🤣🤣🙌🙌Muoneshe posts za Lucas Mwashambwa na umuambie ukiwa mkubwa utakuwa unabubujikwa na machozi kama huyu.
🤣🤣🤣 uyo mkabiz mzee wakimasai wanayo mapor yao wale wtt wao ambayo awaitaji shule wanapelekwa uko nasema 1 wk atakubali shule mwenyw maana n over matesoTumepiga mpAka ingekuwa wana adhimana ningekuletea umtest
Uyo ni kid billionaire anakwepa system ya elimu ya bongo safi sana sema ingekuwa anajua kuisoma na kuandika ingependeza zaidi ..Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho
Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??
Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?
Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe
Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine
Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali
Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma
Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Mpeleke kwenye maombi hzo dalili za Uganga
Acha ushamba wako..Acha uongo, wazungu gani wanafungia watoto wasio taka shule ndani?;
Halafu unaongelea ndege na magari gani haya matoi mnayowapa hao watoto wenu wachezee ndo ajifunzie ugunduzi? Serious?