Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana

Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo

Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho

Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote

Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??

Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?

Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe

Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine

Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali

Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma

Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
 
Watoto kama hao ndo wanakuja kuwa ma genius badae yaani

Kama hataki shule fanya kama wazungu wanamchukua mtoto alafu wanamfungia ndani wanamuwekea kila kitu magari, ndege meli piki piki na vikorokoro kibaoa..

Mtoto anakua anapelekewa chakula tuu yaani yeye anaishi huko huko mpaka agundue kitu au atatoka akiwa anapenda kiti flan basi ndo watampelekq chuo cha hivo viti moja kwa moja mkuu .
 
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana

Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo

Mwaka wa pili nikampeleka tena shule za serikali yaan chekechea navyo ni hivyo hivyo ni kulia mwanzo mwisho

Walimu wakajua tunamdekeza mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote

Mwaka huu anatimiza miaka sita lakini suala la shule hataki kulisikia
Mama yake akimwambia suala la shule huwa anajibu huko shuleni kuna kipi cha zaidi??

Ni mtoto ambaye ukikaa naye unaweza hisi umekaa na mkubwa mwenzako akisimamia msimamo wake hata upige kiasi gani hubaki na msimamo huo huo, kama lissu sio muoga hata umtishe vipi?

Kama utatumia ukali kumtuma utajibiwa kwanini usiende mwenyewe

Na huyu hata siku mama yake anakaribia kujifungua ujio wake ulikuwa sio kama nilio uzoea kwa watoto wengine

Na kitu kilichoniacha mdomo wazi siku moja kabla ya kujifungua mama yake tupo tumelala tukawa tunasikia sauti ya kulia ndani ya tumbo masaa 7 mbele wife akasema tumbo linauma ndipo nikampeleka hospitali

Kitu kingine huyu mtoto huwezi mkuta anakudai njaa inauma

Ni mtu wa kukalili vitu kwa haraka sana na huwa hapendi cheza na watoto wenzake tokea utotoni kwake mpaka sasa
Peleka shule kwa nguvu, usimsikilize atakuwa boya
 
mama yake akapiga sana viboko lakini hajali lolote
Weye mkeo anamchapa wanao naandika kisifaaaa.. Ona aibu kwa wewe kunyamaza
limegoma kabisa kwenda shule. Nimepiga hadi nimechoka

Nyote kwani hafahamu viboko vikaliiii ni mnamjengea mtoto mambo mabaya ya kisaikolojia huko mbeleni?

Kwanini hamwezi kuongea nao kiutulivu kujua sababu ambazo wanaogopa kuwaambia nyie wazazi?

Mmenisikitisha maana hamjui la kufanya na hasira hasara

Jiukizeni je kuna hata mmoja wenu ameenda shule kuongea na walikuwa haswa mtaambiwa yupi anaweza kumuelezea vizuri mtoto wako

Achaneni na hasira.

Mnawakomaza kwa viboko lazima ni kama kunywa chai..

Acheni kunyanyasa

Msali sanaaaa kuanzia kujiombea wazazi
 
Back
Top Bottom