Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

Boya kweli. Yaani wewe umewekewa ulinzi wa kukuchora uwapo mitaani alafu huoni.

Hapo mama kakuwekea body guard. Ukichepuka tu, taarifa mama anazo sasa nifanye eti unatoka naye tena usiku kuzuga mitaani.

Utaingia kwenye mitego yao kitahisi sana.
Mama anajitafutia maumivu ya moyo
 
Labda mama yake alimwambia huwa mkazi vizuri, sasa kaamua kutafuta evidence kwa kukupa kadem kabichi, ili ajue kama ni ulegevu wa k ya mama yake au la,ili aanze kukamulia limao
Yaani hayo amwambie mwanawe wa kiume?
 
Hii dunia sijui imekuja kuwaje 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sasa 4m 6 c yuko shule? Huko mda wa kwenda nae bar anapata wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss siyo kila kitu ni chai namjua mtu alikuwa anapelekewa pisi kali na shemeji yake mdogo wake dada yake kabisa. Tena mwamba akiwa anagombana na mke wake jamaa ndiyo anamshauri sbemeji yake waondoke
Hiyo n sawa inaingia akilini ila sio kwa mtoto wa kambo mmmmh, yaan amuumize mama yake? Hapana lol
 
Siku akija Baba yak kumrudia Mama yao usishangae
Au michepuko wa Mama yao ukija hawatakuambia Ila watasema ni mjomba
Shirika acha tabia hizi tafuta mke mdogo u Serengeti mbaya
Atamwambia ni "gu-mjomba gwake"?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tungejua kwanza umri wako huenda umeolewa badala ya kuoa.
Yamkini hata huyo mwanamke ULIYE naye uliunganishwa na huyo kijana
 
Hili nalo la kupost JF ndugu yangu? Anyways, wahenga wanasema "tusikuhumu kitabu kutokana na muonekano wake."
 
Hiyo n sawa inaingia akilini ila sio kwa mtoto wa kambo mmmmh, yaan amuumize mama yake? Hapana lol
Itakuwa hawamtaki kwenye maisha ya mama yao, hivyo wanataka waachane
 
Kama katumwa akutege usikubali kuacha kutegeka,kuna mitego mingine hata angekua ni yusuph yuko

awamu hii asingeweza kuchomoka,asee mimi ingekua n wewe "nategeka" itajulikana huko huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…