witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23][emoji23]Hahaha "God forbid"kwa ki "Igbo"
Shukuru hukutolewa kafara kuishi nao si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Hahaha "God forbid"kwa ki "Igbo"
Nilitegemea comment ya kipumbavu kama hii na hii ndio Tanzania.
Wwe utakua umeathirika no movie za kichawi za Nigeria!!Watu tisa ndani ya nyumba na bado mtoto anazama kwenye swimming pool,haki hichi kifo kina walakini.Ngoja tusubiri hiyo report ya kifo kama itawekwa hadharani na Polisi.Ila hamna watu wanaongoza kwa kutoa makafara kama Wanaijeria nimefika kwao nimeishi nao kwa mda aisee ni balaa zito.Nashangaa hawa wanaobisha kwa ufupi tu jaribuni kugoogle voodoo mjionee hii ni mojawapo ya ndumba maarufu.Tufiakwa
Hata bathtub ni hatari pia. Niliweka bathtub tena nilinunua duka fulani kwa kuweka hela kwa awamu. Lilivyofungwa sikuwepo na mke wangu so tulivyorudi yaani nikafungulia maji yalipojaa nikaset yale marangirangi ile nimegusa kutest joto nilipigwa na shot moja kali sana.Na meza za vioo,hasa coffee table.
Ila Watanzania tukumbuke kua,njia za kufa ziko nyingi sana,lakini kuna njia mbili tu za kuishi,nazo ni to live reach or to live poor!!Hata bathtub ni hatari pia. Niliweka bathtub tena nilinunua duka fulani kwa kuweka hela kwa awamu. Lilivyofungwa sikuwepo na mke wangu so tulivyorudi yaani nikafungulia maji yalipojaa nikaset yale marangirangi ile nimegusa kutest joto nilipigwa na shot moja kali sana.
Ikabidi nimtafute fundi kutoka duka niliponunua aweke sawa mambo ya umeme. toka siku hiyo nikiingia kuoga lazima umeme uwe off.
Naliogopa mno yaani naona kama naishi na kifo. Ile shot ilikuwa sio ya dunia hii
Hata usingizi unauwa pia, kuna watu kibao waliaga wanaenda kulala lakini hawakuamka tena!!Ila Watanzania tukumbuke kua,njia za kufa ziko nyingi sana,lakini kuna njia mbili tu za kuishi,nazo ni to live reach or to live poor!!
"Angel"Rip beautiful angle [emoji24]
Kwahiyo kumbe Davido alikuwa nae?I saw the very first reports zilisema the boy was with Davido.
.
He was playing in the pool and throwing his legs to swim just next to davido.
.
I guess he stood up or something these celebs are always on calls.
Daa basi kama ni hivi hili litamuumiza sana maishani mwakeI saw the very first reports zilisema the boy was with Davido.
.
He was playing in the pool and throwing his legs to swim just next to davido.
.
I guess he stood up or something these celebs are always on calls.
So alikuwa na babaake?[emoji849]Daa basi kama ni hivi hili litamuumiza sana maishani mwake
Simu zimekuwa too much sasa
Yaani tumefanya kama hatuwezi kuishi hata dakika 10 bila kuangalia
Nimeona mdau kaandika hapo juuSo alikuwa na babaake?[emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Shukuru hukutolewa kafara kuishi nao si mchezo
Tufiakwa[emoji23][emoji23][emoji28]
Umenikumbusha hili neno analipenda sana yule mzee Chiwetalu Agu